Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

w.jpg


Bahati mbaya wema hakusoma sana, ila angejua ile theory of diminishing...........ndio imeanza kufanya kazi kwake.
 
Ama kweli mapenzi,makirikiri......Leo tamasha Mwanza kesho Dar, wa Mwanza wanasahaulika
 
diamond ana hela sana na pia inaonekana anajua kusimamia kucha vizuri ndo maana anawakanyaga sana hawa warembo wa uncle hasheem lundenga

helass?
Madem wa kibongo
hovyo sana wawezakuta anawafumua hovyo
tena bila kuwapa sentano,wanashobokea
jina tu!
 
THis is excellent. Haya, sasa tuwekee picha ya huyo "Sex symbol" Diamond na kama possible, na kazi yake maarufu kuliko zote, then tuendeleee.

Ila Jokate moto, I envy the girl, she has taken various publlic repsonsibility, she is not empty headed.....
kazi kweli kweli
 
Jokate kama unasoma hii maada, naomba angalau ukiweza unitumie pedi zako zilizotumika kila mwezi niwe nazinusa kila saa (Kaa sina akili nzuri vile!) na hata pengine kutengeneza "supu ya pedi" zako, na hatimaye Mwenyeezi akipenda,nipate nguvu ya kukupata. Amen!
 
jokate kama unasoma hii maada, naomba angalau ukiweza unitumie pedi zako zilizotumika kila mwezi niwe nazinusa kila saa (kaa sina akili nzuri vile!) na hata pengine kutengeneza "supu ya pedi" zako, na hatimaye mwenyeezi akipenda,nipate nguvu ya kukupata. Amen!


makubwaaaaaaaa!!!!!

 
huyu jokate ni mwakwaya mzuri wa victory choir pale st peters catholic church ibada ya kiingereza na pia ni msomaji wa masomo.

Siamini hizo ni tuhuma tuu. Huyu wema analake jambo.
kaaaaazi kweli kweli....... Malaya malaya tu, mbona hao wanaoitwa masister wanapigwa kama kawa itakuwa yeye,,,,, chezea diamond weye...

 
Wanatafuta promo,
sipendi wanawake wasiojithamini,
wapo tayari kupoteza utu ili kupata kitu.
Wema,Jocate hizi promo chafu mwatafuta ili mpate nini?
 
I think its no big deal kwa wema kuporwa mchumba, watu wanaporwa waume wa ndoa itakuwa mchumba? moreover, hawa-match kabisaa, wema anammeza Diamond kiumri, kimwili na kitabia chafu. Diamond ni kijana ambae katulia na anajiheshimu. Katika mapenzi yao ninavyoona mimi ni kuwa wema ndo alikuwa anaforce na cdhani km ana true love kwa Diamond. Hata diamond cdhani km ana true love kwa Wema, alishataka kumwacha ila akabembelezwa arudiane nae.

Mwanamke aliekamilika anaetaka ndoa ya kweli lazima awe na tabia zinazoridhisha. Wewe unataka usafishiwe nyumba, upikiwe na kufuliwa nguo na mama mkwe, halafu utajiita unafaa kuwa mke kweli? Kuna mkwe anaetaka kugeuzwa housegirl? Its obvious huyo mkweo ataona kabisa kuwa mwanae kaingia choo kisicho na jinsia, hatopenda mwanae akuoe kwa tabia hiyo.

Wema yeye ni mzuri sana (frankly speaking), ushauri wangu kwa kwake ni kuwa kwa sasa atulie kabisa atathmini maisha yake, aache tabia chafu zinazomfanya aandikwe ovyo magazetini, atapata mwanaume mzuri na wa maana kuzidi Diamond anaemng'ang'ania....... May God be with her, apone maumivu asonge mbele
 
Back
Top Bottom