Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
 
Nilifikiri waliochanganyikiwa ni madereva daladala tu. Nimegundua Africa, watu wengi tumechanganyikiwa. Gambia Rais kachanganyikiwa eti anatibu AIDS kwa kutumia ndizi, hawa nao wamechanganyikiwa kama Rais wa gambia, na list goes on and on.
 
Jokate ilikuwani kati ya wasichana ninaowaamini sana. Ila siongezi kitu maana hizo zote bado ni tuhuma
 
Jokate ilikuwani kati ya wasichana ninaowaamini sana. Ila siongezi kitu maana hizo zote bado ni tuhuma

Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx
 
nilifikiri waliochanganyikiwa ni madereva daladala tu. Nimegundua africa, watu wengi tumechanganyikiwa. Gambia rais kachanganyikiwa eti anatibu aids kwa kutumia ndizi, hawa nao wamechanganyikiwa kama rais wa gambia, na list goes on and on.
hahahaha dah we noma
 
Usimjibie haiwezekani kila mtu amseme yeye lazima kuna kitu hapa..jokate kicheche inaeleweka, kaliwa na mzee mengi mpaka kakua now kamwachia klyn nae ajinafasi

Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx
 
huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina diamond. Wema mcharuko dy/dx
kwani ukiwa msomi ndio huibi bwana wa mtu??
Hehehehe
wangapi wana ma phd yao wanatembea na mabwana za watu...
Mkuu vipi??
 
usimjibie haiwezekani kila mtu amseme yeye lazima kuna kitu hapa..jokate kicheche inaeleweka, kaliwa na mzee mengi mpaka kakua now kamwachia klyn nae ajinafasi
you say what???
Mwenye kipara nae kamla??
Kuna mtu alisema kuwa eti kuna md wa bank wakacha tunaitafuta ni bank nani na huyo md ni nani
 
Jokate ilikuwani kati ya wasichana ninaowaamini sana. Ila siongezi kitu maana hizo zote bado ni tuhuma

Nakushauri ukasome huko kwenye Uturn. Watu wamefunguka mambo mengi sana aisee, inasikitisha. But it only portrays the life of youth in this generation.

By the way, Wema alifunguka kupitia Clouds Tv then hao Uturn wakaidandia story.
 
nakushauri ukasome huko kwenye uturn. Watu wamefunguka mambo mengi sana aisee, inasikitisha. But it only portrays the life of youth in this generation.

By the way, wema alifunguka kupitia clouds tv then hao uturn wakaidandia story.
halafu huo mtandao wa dubai watu wana data kama nini utafikiri wanafanya kazi tiss sema tu wamekosa kaunda suti na magari aina ya pajero na kunyoa vipara la sivyo wangekuwa tiss kabisa
 
Back
Top Bottom