Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Hongera kwa kujitahidi kutoelewa, maana katika kazi ngumu kwenye jambo hili ni kujitahidi na kutafutiza sababu za kutoelewa kuwa ni kweli.
Binafsi naamini issue hii ni kweli na haina ubishi. Ila sioni sababu ya kuichukulia serious. Mbona ni jambo dogo na la kawaida tu hili? Hivi wangapi wangepata fursa ya kuwa na Wema wangeresist?
Hebu muacheni Mbowe jamani.
Ukweli utabainika tu,angalia hiyo video!
 

Attachments

  • VID-20170604-WA0009.mp4
    1.9 MB · Views: 22
Steven ndo alinegotiate Wema ahamie Chadema,audio ya Wema na Mbowe ni kweli.Sema Wema kaamua kuiachia ili alipwe mpunga waliopatana kipindi anahamia Chadema,Ngonja video zitoke Mbowe akiwa yupo uvinza kwa Wema ndo mtaelewa.
unajua nitashangaa kama mbowe anapiga na wema ni kweli,the girl is empty headed
halafu ni kama ana kizizi flani..umenotice eti anamuita mbowe kaka wakati mbowe anaweza kumzaa!!!!!
kama ni kweli hii skendo ni zaidi ya watergate kulaleki
 
Ccm bana. Kuna ile ya ugaid ya rwakatale na mama aliyezalishwa na gwajima sijui zimeishia wapi. . Tatizo Skendo zenu za akili ndogo mnalenga akili kubwa you chicken brain
 
Hapa Mwenyekiti umetuangusha hiyo papuchi ya huyo binti ni bandika bandua Sasa Nini wewe kimekusibu ,Warembo wamejaa mjengoni kibao si ungechukua huko ona Sasa yametukuta
Kwani huko mjengoni hakuna bandika bandua?
 
unajua nitashangaa kama mbowe anapiga p*mbu huyo wema,the girl is empty headed
halafu ni kama ana kizizi flani..umenotice eti anamuita mbowe kaka wakati mbowe anaweza kumzaa!!!!!
kama ni kweli hii skendo ni zaidi ya watergate kulaleki
Sasa si wameshagusanisha viungo vya uzazi,heshima itatoka wapi?
 
Wajinga na wapumbavu ni sehemu ya jamii, hivyo sishangai kuona watu wanashadadia habari za kipuuzi zisizo hata na chembe ya ukweli.
 
mtaalamu mbowe kashamjaza wema hahhahaahhahahhahahahaa akina jesca kishogoooooo wamepona kweli hahahahhahaahhahaa kamandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Duh ndo maana kuna yule msanii gani sijui nimemsahau jina alishaimba ule wimbo unasema "Hii kitu hii kitu hii kitu hii Hii kitu hii...." nimesahau muendelezo wake, anayekumbuka auendeleze
Anaitwa ndugukurusurukujo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom