masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,886
- 13,181
Mahakama Kuu Dar es salaam imetoa tamko kuwa Bunge Maalum la Katiba limevunja sheria kwa kuwaita wadau kutoa maoni Bungeni hapo, na kusema BMK haina mamlaka kufanya hivyo.
Tusubiri kesho kwa ufafanuzi.
Heko Kubenea na jopo la mawakili kwani hakuna kuandamana kunakoweza kufanikiwa kama kutumia uwanda wa sheria.
Source ITV saa mbili
Tusubiri kesho kwa ufafanuzi.
Heko Kubenea na jopo la mawakili kwani hakuna kuandamana kunakoweza kufanikiwa kama kutumia uwanda wa sheria.
Source ITV saa mbili