Adam john mbonile
Member
- Oct 20, 2021
- 60
- 37
Professional: Accountant
Education: Bachelor degree
Experience:1year
Location:Moshi(Kilimanjaro)
Education: Bachelor degree
Experience:1year
Location:Moshi(Kilimanjaro)
Kwa huu mtindo utakula rushwa sanaMwenye connection kazi za weighbridge, TANROADS mkoa wowote. Naomba anicheki Pm, ahsante ya connection ipo.
Unajua namanyereNatafuta shirika au kampuni yeyote nijitolee, Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhasibu 2023,katika chuo Cha uhasibu Arusha ,mkoa wowote ule nipo tayari kwasasa nipo Kilimanjaro (Moshi majengo)
usijilinganishe na watu, utakosa muelekeoDah aisee nasoma CV za watu Hadi naogopa🤔, maisha kweli jau😪🙃🙃
mshamba_hachekwi
Mkuu Ume elewa nilicho maanisha🤔, au ndo daily motivation 🤒usijilinganishe na watu, utakosa muelekeo
Mkuu Ume elewa nilicho maanisha, au ndo daily motivation
umesema umesoma cv za watu😅 sasa kwanini uzisomeMkuu Ume elewa nilicho maanisha🤔, au ndo daily motivation 🤒
Eeeh Wana provide Nini huko 😎Unajua namanyere
Ulumi huko ndani ndani?
Nyumba za tembe utaenda??
Duh🤔🤔🤔, nime aminisha system ya ajira na Hali ya maisha haiko sawa.umesema umesoma cv za watu😅 sasa kwanini uzisome
Fresh graduates karibuni PM kuna nafasi za internship mbili mahali ukifany vzr wanakuchukua.
Pm umefunga mkuuFresh graduates karibuni PM kuna nafasi za internship mbili mahali ukifany vzr wanakuchukua.
aha... nimekuelewa sasa😅 sijui kwanini hata siwazi😂Duh🤔🤔🤔, nime aminisha system ya ajira na Hali ya maisha haiko sawa.
👉Hapo nime jilinganisha vipi??
Hauwazi nini??aha... nimekuelewa sasa😅 sijui kwanini hata siwazi😂
kuhusu huo ugumu wa ajiraHauwazi nini??