Weeklink Tanzania imepotelea wapi.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Hivi majuzi tuliletewa habari nzuri juu ya kuanzishwa kwa weeklink Tanzania itakayotoa fursa ya kuweka wazi maovu yote katika jamii ya watanzania. Nauliza hiyo weeklink imepotelea wapi, au ni ya wateule kidogo?
 
hehehe si mumrekebishe wajameni ni wikileaks na sio weeklink au weaklink au weakleak
 
Nashuru kwa marekebisho hayo, lakini swali langu bado liko pale pale; hiko wapi hiyo wikilink iliyo anzishwa?
 
Mbona jf inatosha sana ina kila kitu hiyo wikileaks ya nini? ni sawa na dawa za maumivu kama panadol, panaway, sheladol. dawanol nk ni kitu kilekile
 
Back
Top Bottom