Website ya Mzumbe Alumni: Ni wakati wa kuchangia shule yetu.

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wakubwa, lengo kubwa ya website / community hii ya Wazumbe wote ini kuongeza ushirikiano kati yetu pia kujadiliana jinsi ya kuchangia / kuiendeleze Shule yetu. (Mzumbe Secondary School). Kama inavyojulikana, Wazumbe wengi wametawanyika duniani kote, hii ni faida mojawapo, lakini pia ni moja ya challege haswa kunapofika kuorganise kitu fulani. Akhsante technology imeturahisishia hili, hivyo Wazumbe.com itakuwa ni platform ambayo itakuwa inajitegemea na yenye features zifuatazo.


1. Utambulisho wa shule yetu na Wazumbe
2. Kurasa za Blog kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Wazumbe / Mzumbe
3. Kurasa za kuendesha kampeni za kuchangia Mzumbe, na Kila Mzumbe ataweza kufuatilia maendeleo ya michango (transparency) na kuweka malengo ambayo tukiwa kama wanafunzi tuliosomoa mzumbe tutakuwa tumeonesha zile Determination zetu.
4. Alumni pages ambapo kila Mzumbe atakuwa na profile yake, hii itasahia kuwaunganisha Wazumbe na kuzidisha mahusiano, chukulia leo Mzumbe anahitaji mtaalamu wa Sheria, kuna Wazumbe tayari wanamiliki makampuni haya, so itrakuwa tahisi kwetu kushirikiana (nina mfano hai wa hili)
5. Forums, Wazumbe wataweza kujadiliana masuala mbalimbali ya maisha, maendeleo nk
6. Mawasiliano. Kwa kutumia Newsletter, wazumbe wataweza kuwa updated na kila tukio muhimu linalohitaji mchango / mawazo yao


Haya ni mawazo ya awali, je wewe kama mwana Mzumbe, ua mawazo gani juu ya kuboresha hili?


Hivyo kama wewe ni Mwana Mzumbe Secondary aka wazee wa Mongwe na Zongwe basi jiunge na pia fikisha taarifa kwa Wazumbe wote.

 
hongera mkuu kwa wazo lako murua kabisa..
inaninuma sana kuona shule yangu ya mzumbe kwa hali iliyofikia sasa, kwa kweli hali inatisha sana..
tarehe 20/9 akina dada wa weruweru alumin walikuwa wanaazimisha nafikiri ni miaka 50 kama cjasahau il a kwa upande wetu cjawah kusikia kitu kama hicho kwa upande wetu..
naona huu utakuwa mwanzo mzuri sana kama tukifanikiwa kweny hilo wazo lako.
 
Back
Top Bottom