Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Maybe umesahau kitu kingine shemzigwa,
Japo naweza kuwa naenda nje ya topic niwie radhi, I doubt tovuti hiyo inaweza kupewa tenda kampuni ya kigeni kwakuwa serikali imekosa wazalendo wenye uwezo wa kuitengeneza na kuiendesha. Nafurahi kitu kimoja, watu wako tayari na si mimi pekee kutoa mchango wao wa BURE kwa serikali na kinachofurahisha jamaa hapo juu (defunkadelic) kajitolea hadi kusaidia kazi ya Uwanja wa ndege wa Airport. Wenyewe kama wamemnukuu vema anachotaka kufanya jamaa ni kitu adimu sana na muhimu kwa taifa.
Thanks defunkadelic bro! Una moyo
bila shukrani mkuu, ni kitu kidogo kuchangia chochote nchini. Wabongo wapo wengi tu wana uwezo wa kuchangia vitu mbalimbali katika maendeleo, however little it is, we will get there.