Website Updating: Msaada

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Naombeni kujua mbinu na jinsi ya kufanya website updating. Msaada tafadhali wadau na wataalamu wa masuala haya
 
Me kipaji changu biashara.labda niwe dalali wa kukutafutia mtaalamu,then utanilipa hela ya udalali.
Samahani kama nimekukwaza.
Charity, mie huwa sikwaziki bana, full furaha na shangwe hapa na wagonjwa wangu
 
Duh!! Naona kimya hapa

Mkuu nadhani inategemeana na aina ya website ambayo unaitumia. Hapa kuna wataalamu wa tools mbali mbali za kutengenezea website, cha muhimu ungesema website yako ina content gani na imetengenezwa kwa lugha ipi kati ya
-Html
-Xhtml
-Xml
-Php
-Css ,,,,n.k. Naamini kuna wataalamu wengi sana hapa JF wa ujuzi huo.

Ok, get on
 
Mkuu Idimi asante sana kwa hili
 
Swali lako liko too general
Ukisema Update una maanisha nini. Contents au Scripts?

Kama ni Content inategema aina ya web site.kuna Database driven Website( Two tier/three tier) na kuna nyingine Aplication na data zinachanganywa (One tier)

Kufanya update ya contents kwenye website iliyotengenezwa kwa Two or Three Tier hakuhitaji sana ujue mambo ya Web programming.

Lakini kufanya upadate ya content kwenye one tier website inabdi ujue abc za web programming.

So be specific

uzuri wa yote web programming imekuwa rahisi kiasi siku hizi kuna tools kama Adobe Dreamweaver CS4 zinaweza kukusaidi.
 
Asante mtazamaji kwa ushauri bomba
Mimi nataka kua-update contents Mkuu
 
Asante mtazamaji kwa ushauri bomba
Mimi nataka kua-update contents Mkuu

Nina uhakika hapa huwezi kupata solution bali utapata mwanga. But utapata mwanga zaidi ukijieleza. Hiyo website unayotaka kuupdate iko hosted wapi( Kwenye PC au server zako au Somer free webserver kama Blogspot.com)

Hiyo web site yako ina contents gani( Graphics, Audio,Text au mchanganyiko).

Je Hiyo website yako ina page ngapi au ina ukubwa kiasi gani.Kama ni kubwa na inahitaji updates kila siku au kila saa u mingt need to consider Content Management Apllication

Toa link ya hiyo website tuione. na upate ushauri .wote tunajifunza. We share and exchange knowledges, experience and ideas . ndio maana tuko hapa.
 
Wasikuchanganye, kama website yako iko online, then kampuni inayohost ina Interfaces kwa ajiri ya kufanya updates. Updates haina uhusiano wowote na language gani umetumia kuandika, host wako atakuwa na uwezo wa kusupport ndo maana akaku-host.
 
Asante wakuu kwa haya mliyonipa
Nimepata ya kutosha ingawa bado ninaendelea kupokea ushauri
 
Back
Top Bottom