Website inayofungua proxy kwa kutumia modem ya vodacom!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
zamani tulitumia 0.facebook.com kufungua proxy kunako vodacom ambayo waliifunga.
naomba mwenye kujua mpya anisaidie kupitia PM.naona wamepinguza gharama eti 5mb sh 250 nk lakini tunatafunwa sana

nitashukuru
 
wabongo bwana

ebu cheki gharama za vodacom mkwa sasa
5mb-250 daily
25mb-450 daily
50mb-700 daily
Non stop-10,000 weekly
lakini bado unataka vya bure? AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Back
Top Bottom