Webcam Crooks!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,990
22,522
Mwanamama mmoja wa Florida kawanasa wezi kwenye webcam yake live wakiwa wanapora nyumbani kwake yeye akiwa akiwa kazini,kuna technoljia hivi sasa ambapo unaweza kuimonitor nyumba yako mahala popote pale kama una internet connections.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=4wUffliTi2c]YouTube - Robber caught on Webcam[/ame]
 
Back
Top Bottom