We ulisoma hiki kitabu?

Hivi ndo vilikuwa vitabu, achana na hivi vya siku hizi ambavyo kila mtu akiamka tu anatoka na kitabu chake!!!!
 
daaah umenikumbusha nyuma xana mwaka 96 nikiwa darasa la 3 pale bumangi primary school, chini ya mwalimu wangu masinde...sasa ajabu hiki kitabu mwanzo mwisho ni mr. & mrs daudi, mussa na neema baaasi.
wiseboy niamkie haraka sana!
 
Last edited by a moderator:
306568_414955805238899_534735005_n.jpg
umekitoa wapi i see?nataka niwafundishie wanangu hata home bwana!manake mule kulikuwa na english ya matuymizi isivyo kawaida sio haya ma macmillan sijui essential english ah!au kuna vile vya sekondari vya ENGLISH IN USE vilikuwa vya wakenya!wacha kabisa!
 
c mchezo hyo mwaka 90 la tatu ndani ya changombe pr wakina mwl mbaga,mwl mussa,c mchezo kitambo sana hyo enzi hzo class wakina adolph atanasi,fredy tarimo sosthenes nstanslaus,chacha mofa,mbobo,haaa...haaaa na wengine wengi
 
Dah... Yan enzi hizo tulivyokuwa tunasoma nilikuwa napata picha hao watu ni kweli wana exist..! Aisee nimekumbuka mbali sana enzi za kukaa chini, hakukuwa na madawati darasani..! Lol
madawati mpaka leo kuna sehemu hayapo mkuu,ila ni kweli ametukumbusha kipindi ambacho elimu ilikuwa elimu.
 
Back
Top Bottom