Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
Hiyo wanaweza kusema kwa kidhungu but in kiswa you can't say that "tuna mimba" mmmhhhh hiyo ngumu bana
Dena Amsi,
Hiyo ni kweli kabisa. Ukitafsiri kwa Kiswahili haiji. Na hivi ndivyo ilivyo kwa maneno na misemo mingi tu. Jaribu hata kusema "I miss you" kwa Kiswahili uone ambavyo haitanoga.
Ndiyo uzuri na utata wa lugha huo.