"We" are pregnant? Ha. Please!

Last edited by a moderator:
Ha ha ha EMT kwenye trial kwani ninatest kama Mbegu ziko viable????
 
Last edited by a moderator:
hell no......

Why not? Tena nasikia kuna tudawa twa kuhamishia mimba kwa mume kwa muda! Yaani ikifika miezi kama 8 hivi, nakupa unipokee; ofcourse na ile first trimester ili ule pemba na Maembe dodo mabichi! LOL
 
Why not? Tena nasikia kuna tudawa twa kuhamishia mimba kwa mume kwa muda! Yaani ikifika miezi kama 8 hivi, nakupa unipokee; ofcourse na ile first trimester ili ule pemba na Maembe dodo mabichi! LOL

hayo mambo wafanyie wazungu tu

mimi mwanaume wa kiafrica...hata mtoto akijisaidia

nakwambia 'njoo mchukue mwanao ' lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom