Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Eee Mwenyezi Mungu saidia uzao Wa tumbo langu usipatwe Na laana hii ambayo ni chukizo kwako.harafu nashangaa hao wanajifanya kutetea haki za mashonga humu mbona ni wanaume tu!!!!! Nabaki na maswali kibao,acheni jamani sio sifa ni chukizo kwa Mungu.
 
Trash
Hizi akili au matope??
 
"mwanamke wasivae mavazi yampasayo mwanamume na mwanamume asivae mavazi yampasayo mwanamke,kwa maana kila afanyaye mambo hayo NI MACHUKIZO mbele za Bwana Mungu wako" Kumbukumbu la Torati 22:5
 
Eee Mwenyezi Mungu saidia uzao Wa tumbo langu usipatwe Na laana hii ambayo ni chukizo kwako.harafu nashangaa hao wanajifanya kutetea haki za mashonga humu mbona ni wanaume tu!!!!! Nabaki na maswali kibao,acheni jamani sio sifa ni chukizo kwa Mungu.

Hivi humu ni kanisani??
Hapa tuna argue kwa facts,
Hizo sala zako peleka kanisani au kwa huyo ambaye una muabudu. So pathetic.
Huyo mungu wako Ndio kasema uite viumbe vyake laana kisa wameamua kupendana??
 
Huyo mungu kakwambia ni chukizo Kwake au ni mawazo yako binafsi??
 
Hivi God ndo kasema mpinduane, embu tugee verse kwenye kitabu yoyote unayoiamini??
 
Haina haja ya kupanic, Ila mkae mkijua matumbo yaliyowabeba miezi tisa yanawalilia, Mama zenu walipitia kipindi kigumu mno Na hata wakavushwa na Ile roho ya waaguzi wenye roho mbaya ikawaepuka hatimaye ukazaliwa kijana Wa kiume familia ikafurahi Leo hiii uanaume wako uko wapi? Kweli umekua wakupapasa Na kupapaswa kalio Na mwanaume mwenzio? Oooh hebu kua Na hofu.
 
How can I argue with such train of thought ???
Umesoma nilichokiandika?? Au unadandia train kwa mbele??
Fuatilia tena Uzi then njoo uandike
 
Haina haja ya kupanic, Ila mkae mkijua matumbo yaliyowabeba miezi tisa yanawalilia, Mama zenu walipitia kipindi kigumu mno Na hata wakavushwa na Ile roho ya waaguzi wenye roho mbaya ikawaepuka hatimaye ukazaliwa kijana Wa kiume familia ikafurahi Leo hiii uanaume wako uko wapi? Kweli umekua wakupapasa Na kupapaswa kalio Na mwanaume mwenzio? Oooh hebu kua Na hofu.

Here we go again!!!
Dada Mimi sio shoga na sijawaza kuwa shoga.
Ila nashangazwa na watu ambao wana lalamika na kitu ambacho wanafanya wengine tena kwa hiari yao.
Sasa hayo matumbo unayoskia wewe yakilia sijui haTa niseme nini. Labda ushauri : nenda hospitali kapime akili kama unaskia matumbo yanalia.
 
Kwan shoga n nani?
c4f2df39a2a0d9b2f46baf1b4a813bfb.jpg
 
Back
Top Bottom