Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Naona kuna mahali tunapishana lakini sidhani kama tuna sheria inayohamasisha vitendo vya ushoga hapa nchini ....labda nikumbushe iko ibara no ngapi

Tofautisha sheria na haki.
Sheria inaweza kutumika kukandamiza na kunyima haki.
Mfano. Apartheid SA ilipitishiwa mpaka sheria lakini haimaanishi ni sheria yenye haki.
 
Nashukuru sana mkuu mshana jr kwa kuweka uzi humu jamvini hakika mwanaume yeyote ambae amezaliwa kwenye maadili angepata nafasi mwanaume mwenzako akiomba umgegede nafikiri siku ingeharibika sana..kiukweli kesho yake nilikosa raha kila nikiwaza jamaa alivyokomalia akitaka nimgegede..uzuri mshana jr alitumia busara kunifata PM nikamtumia na picha za mshikaji akinionyesha mali ya nyuma na mikao yote..wenye tabia hizo badilikeni aisee
mkuu humu JF wapo wengi sana wenye tabia hii, mie kuna mmoja alijitokeza huku kuomba ushauri juu ya upungufu wa nguvu za kiume...nikamshauri kawaida kwenye forum akanipm nikamjibu pm zake na i was ready kumkutanisha na madaktari washkaji zangu kwa ajili ya kucheck hormone zake, basi mawasiliano yalienda vizuri mpaka nikampa na number yangu ya simu (thanks God nilimpa number nisiyoitumia sana) tukakutana pale mliman city, (jamaa ni mwanafunzi wa chuo kikuu) he....makubwa jamaa si anieleze kiurefu tatizo lake na akataka nimbandue...nilimkemea na kujaribu kumshawishi aende hospital akatibiwe...hakunielewa maskini...alikuwa anakazana kunitext na kunipm nikamkamue...nilimpotezea jumla na hata that line nikaacha kuitumia kabisa.
Pole mkuu hii kiukweli tabia hii ipo humu ndani kwa wapu.uzi wachache wanaofikiri wanaume wote tuna tabia za kimende...hata aibu hawaoni kuomba kuingiliwa na mwanaume mwenzio.
hivi hawajui utamu wa kugegeda mwanamke ulivo? huwa nashangaa sana!!!
 
nijibuni.
mmeathirika nini kwasababu ya homosexuals?
wamewapora fedha?
wamewafisadi?
wamewanyima oxygen?
watu wameamua kwa hiari na utashi wao kufanya homo sex,
nyie viwewe vinawashika.
kwanini?
inakuwa kuwaje?
hebu nifafanulieni.
Hawa unaowatetea walizaliwa na wazazi waliofurahi mno kupata watoto wa kiume. Wengi wao wakajitahidi kuwalea katika maisha yawapasayo ili nao waje kuitwa baba wawe na familia
Lakini kupitia mambo mengi niliyoyaeleza wakawa exploited na kufundishwa kuwa si haramu mwanaume kuingiliwa na mwanaume mwenzake nao wakaona ni sawa
Kati yao hawa kuna ambao kiasili wana tatizo la kimaumbile (hormone imbalance)hawa ni walemavu kwahiyo automatically hapa tunawatoa
Kundi lingine ni lile ambalo lilifanya kwa siri mwanzoni na badae wakazoea na kushindwa kuficha hisia zao hivyo kujitangaza wazi-hawa wamegombana hata na ndugu zao na kuwaaibisha wazazi wao!hawa hawawezi tena kuwa na familia
Kundi la mwisho ni wale ambao wamebaki kufanya kwa siri (unaweza kuwatambua hapa jukwaani kwa replies zao) hawa hawajionyeshi ni watu wenye familia nyazifa serikalini na heshima kwenye jamii
TATIZO KUBWA LIKO HAPA: tuna watoto wa kiume tunapopiga hizi kelele ni katika juhudi za kuelimishana ili watoto wetu wasije kuharibika na kiuharibikiwa kama hao wengine...hakuna kitu kibaya na kinachoumiza sana kama kwa na mtoto shoga
 
Naomba kwanza unipe maoni mtazamo na msimamo wako kuhusu mashoga na kama ni jambo jema katika jamii
Mungu atusaidie sana jamani, Mimi kama mimi napinga ushoga kwa asilimia zote hata maandiko matakatifu yanapinga vikali ingawa Leo hii kuna hata baadhi ya hao wakuitwa watumishi wa Mungu wana support ushoga, yani mtu anasimama kidete kabisa kutetea ushoga?? dunia imeisha hakika.
Naamini kila mtu anajua anachokifanya, simlaumu mtu kwa maamuzi yake pia kila mtu ana mtazamo wake i respect that..All in all kila mtu ataenda kutoa hesabu zake kwa Mungu.. tusijisahau sana jamani MUNGU yupo.
 
Tusilaumu wazungu, ni hulka tu za wasenge dunia nzima

Hata wazungu wasingekuwepo, tungewaona tu hawa wasenge
 
mkinijibu hili swali nitaanza kuupinga ushoga!
iweje mtu aumie kwa jambo linalofanywa na mtu fulani, tena jambo ambalo haliathiri mtu/ maisha ya mtu mwingine?
inakuwa kuwaje?
bado sijapata logic.
Mkuu acha huo mchezo mara moja, sio sifa
 
Tofautisha sheria na haki.
Sheria inaweza kutumika kukandamiza na kunyima haki.
Mfano. Apartheid SA ilipitishiwa mpaka sheria lakini haimaanishi ni sheria yenye haki.

mpe lecture huyo mluga luga.
simple logic zinamshinda.
Ok sheria ya haki ya kujamiiana Tanzania inasemaje?
Je nyie wawili kati yenu mko radhi kuingiliwa?
Je Mkiwa na watoto mashoga mtajisikiaje?
 
sasa mshana kinachokuliza ni nini?
na unapambana hasa na kundi gani?
waliozaliwa hivyo?
au walioiga?
na unatumia microscope gani kupima chanzo cha ushoga wa mtu?
unatumia chujio gani hilo kuwajua na kuwatenganisha walioiga na waliozaliwa hivyo?
na utawafanyaje thereafter?
utawaua ili watoto wako wasiwaige?
au ni nini hasa point yako?
maana naona unaelekea kwenye utaahira!
bado stage chache sana utaokota makopo.
 
sasa mshana kinachokuliza ni nini?
na unapambana hasa na kundi gani?
waliozaliwa hivyo?
au walioiga?
na unatumia microscope gani kupima chanzo cha ushoga wa mtu?
unatumia chujio gani hilo kuwajua na kuwatenganisha walioiga na waliozaliwa hivyo?
na utawafanyaje thereafter?
utawaua ili watoto wako wasiwaige?
au ni nini hasa point yako?
maana naona unaelekea kwenye utaahira!
bado stage chache sana utaokota makopo.
Relax...!relax..!relax...! Panic ikishaisha utaniambia tuendelee
 
ndio hoja ulizobakiza.
utajibu nini sasa!!
umebaki kurukia watu unapobananishwa.
 
Ok sheria ya haki ya kujamiiana Tanzania inasemaje?
Je nyie wawili kati yenu mko radhi kuingiliwa?
Je Mkiwa na watoto mashoga mtajisikiaje?
Mkuu sheria za Tanzania hazijaruhusu mapenzi ya jinsia moja lakini haimaanishi kuwa ni sheria za haki. Na Ndio maana viongozi wetu wanapewa shinikizo ili kufanya restructuring Kwenye sheria hizo.

Pili Mimi sio gay am straight( sifanyi mapenzi na jinsia moja) ila sina tatizo na wanaofanya hivyo kwani ni haki Yao kujihusisha kimapenzi na walochaguana na kuridhiana

Finally nisingependa mtoto wangu awe shoga. Hii ni kutokana na dhuluma, kuonewa na mateso ambayo atayapata kutoka Kwenye jamii na Watu Kama wewe.
 
Kwa hio wanaotetea haki za wanyama ni wanyama pia au wanaotetea haki za watoto ni watoto
We hujielewi wewe, inaezekana na wewe ni mmojawapo ya waliotumwa kuendeleza hii Sodom , hata aibu huoni kwa shit unazoongea, yani kabisa dume likupumulie kwa nyuma, halafu useme ni haki zao, wacha kabisa, embu fanya maombi na utubu wewe
 
Mapunga utayajua tuu, na utetezi wa kijinga, kweli tumevamiwa... Cjui watoto wetu tutawaficha wapi??? Uuuuuuuwiiiiiiiiiiii
 
Mkuu sheria za Tanzania hazijaruhusu mapenzi ya jinsia moja lakini haimaanishi kuwa ni sheria za haki. Na Ndio maana viongozi wetu wanapewa shinikizo ili kufanya restructuring Kwenye sheria hizo.

Pili Mimi sio gay am straight( sifanyi mapenzi na jinsia moja) ila sina tatizo na wanaofanya hivyo kwani ni haki Yao kujihusisha kimapenzi na walochaguana na kuridhiana

Hii point ya mwisho imenisononesha kuwa hupendi mwanao awe shoga kuepuka uonevu only that? Finally nisingependa mtoto wangu awe shoga. Hii ni kutokana na dhuluma, kuonewa na mateso ambayo atayapata kutoka Kwenye jamii na Watu Kama wewe.
 
Ok sheria ya haki ya kujamiiana Tanzania inasemaje?
Je nyie wawili kati yenu mko radhi kuingiliwa?
Je Mkiwa na watoto mashoga mtajisikiaje?
Mkuu acha kubishana kwa feelings bishana kwa fact's. Na pia kubali sometimes kushindwa hakuna shida katika hili itaonyesha ni jinsi gani umekomaa kiakili unless ni ubishi wa vijiweni.
 
Back
Top Bottom