Wazungu wahamasishwe kuzaa sana, kugoma kuzaliana kwa wingi kuna hatari mbeleni dunia itajaa wajinga watupu

Hoja zako Hazina maana
Kuzaa hakuna umuhimu kwenye dunia ya sasa hivi ambayo mambo yanayomuhusu Binadamu yanafanywa na teknolojia
Teknolojia instengenezwa na binadamu wenye akili nyingi ambao ni wazungu

Kizazi chao kikiisha tumeisha .Wewe unajua kutumia teknolijia baada ya kuiona iko tayari wazungu wameshaitengeneza sio waafrika ambao bara letu ndio bara linaloongoza duniani kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo kuliko mabara yote kwa hiyo hata wajazane ulaya au marekani ni kuongeza tu idadi ya wajinga kwenye hayo mabara.
 
Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya,America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa na katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wanejitumbukiza ndoa za jinsia moja.

Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNAYenyr watu wenye akili mno duniani kuliko races zingine

Sasa hivi nchimkama uingereza.maenro mengi wazungu wameanza kuwa wachache kuliko races zingine

Tatizo litakalotokea ni kuwa dunia itakosa population ya wenye akili na tutafika mahali marekani na ulaya na Canadsa na Australia wanajazana walizaliana kizazi cha wajinga wenye DNA isiyo na akili wenye asili ya Asia na Africa kulikojaa wajinga ambao hawawezi gundua chochote cha maana kwenye ulimwengu wa teknolojia kama ilivyo kwa wazungu

Niwaombe wazungu wazaliane sana waiachie dunia watu wenye DNA zenye akili nyingi.Wasipofanya hivyo dunia huko mbeleni itakuwa ngumu ku advance kiteknolojia na nchi kama Marekani na ulaya ambazo sasa tunaziona superior zitakuwa level moja tu na za kwetu sababu population itakayokuweko kule ndio hiyo hiyo iko nchini kwetu ya waswahili wenzetu.walewale wajingawajinga


Mtu mwenye akili anaweza kutojua kuzaa ni muhimu na akaendekeza ushoga??-- wazungu ni nusu wanyama japo wapo pia wenye akili.
 
Kwa hiyo Mpemba yule mhehe wa Iringa aliyekuja na Mpemba effect na kuchallenge Newton's law of Cooling naye ni Mzungu?

Manhattan Calculator naye alikuwa Mzungu?

Sina haja ya kubeba takwimu na kuja hapa kuondoa Imani yenu, ninyi mliopotoka
 
Hivi Wazungu/Usa ukitoa mitaji wanafanya cha maana sasa hivi? Tech zote za kisasa zipo Asia sasa hivi, hao wazungu sasa hivi wapo Busy kumwaga mpunga kina TSMC walete viwanda Magharibi, Nyanja Zote za Technology Duniani hazifanyiki bila Japan, Korea na China nao hawapo Mbali, kuna kina Taiwan etc.

Its just matter of time, ila power ina Shift toka Ulaya kwenda Asia.
 
Hivi Wazungu/Usa ukitoa mitaji wanafanya cha maana sasa hivi? Tech zote za kisasa zipo Asia sasa hivi, hao wazungu sasa hivi wapo Busy kumwaga mpunga kina TSMC walete viwanda Magharibi, Nyanja Zote za Technology Duniani hazifanyiki bila Japan, Korea na China nao hawapo Mbali, kuna kina Taiwan etc.

Its just matter of time, ila power ina Shift toka Ulaya kwenda Asia.


Ulaya na America wanaendeleza technology ya Ushoga huku Asia wakiendeleza science na technology.
 
Wewe hebu acha kupotosha hapa. Hiyo research ya kuwa watu weupe ndio watu wenye akili kuliko wote alifanya nani na andiko lake liko wapi?!

How is intelligence linked to skin color or race?!
Anglia hospitali ya kufundishia Mloganzila imetwaliwa na MUHIMBILI hospital badala ya chuo kikuu cha afya muhimbili. huo ndiyo uafrika.
 
Sio hilo.fikiria kuna siku unamka unasikia vyombo vya habari vikitangaza kuwa Godbless Lema kashinda uchaguzi Canada aliko. na ndie waziri mkuu mpya wa Canada.Vuta picha
Hushangai ukisikia Makamba Sr ni Political strategist wa Democrat?

Au Chalamila ni Gavana wa California?

Halafu huku Mwigulu ni mwenyekiti wa FED board?

kule Mollel au Gwajima ni waziri wa Afya🤣🤣🤣🤣
 
Huu mjadala niliwahi kuuona Twitter, Kuna ukweli hapa lakini wajinga watakubishia na kuanza kusema sijui ushoga , nyokonyoko Asia Kuna technology na wakisahau Europe and America is where technology was born
 
Mwenye Uzi unaakili sana, na pia wapunguze kupokea wakipinzi kutoka nchi za waarabu, ni hatari sana Dunia kutawaliwa na waarabu hapo badae.
 
Mkuu
Umepotoka

Mfalme suleiman anasema "yeye ni mweusi mweusi lakini ni MZURI enyi mabinti wa kimisri""!wimbo uliobora 1:5, kuna mtu mwenye akili na hekima kama suleiman!!?

Pia Ayubu anasisitiza kwamba "ngozi yangu ni nyeusi nayo yanitoka"

Ayubu 5:1---

Nenda kasome mwenyewe!

Sisi ndio waisrael tuliobarikiwa akili na rasilimali zote

Sema!

Tulimkataa masihi hivyo LAANA ya utumwa na umaskini inatuhusu!

Hivyo tu!!
Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa na katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wanejitumbukiza ndoa za jinsia moja.

Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno duniani kuliko races zingine.

Sasa hivi nchi kama uingereza, maeneo mengi wazungu wameanza kuwa wachache kuliko races zingine

Tatizo litakalotokea ni kuwa dunia itakosa population ya wenye akili na tutafika mahali marekani na ulaya na Canadsa na Australia wanajazana walizaliana kizazi cha wajinga wenye DNA isiyo na akili wenye asili ya Asia na Africa kulikojaa wajinga ambao hawawezi gundua chochote cha maana kwenye ulimwengu wa teknolojia kama ilivyo kwa wazungu

Niwaombe wazungu wazaliane sana waiachie dunia watu wenye DNA zenye akili nyingi. Wasipofanya hivyo dunia huko mbeleni itakuwa ngumu ku advance kiteknolojia na nchi kama Marekani na ulaya ambazo sasa tunaziona superior zitakuwa level moja tu na za kwetu sababu population itakayokuweko kule ndio hiyo hiyo iko nchini kwetu ya waswahili wenzetu walewale wajingawajinga
mweusis
 
Tangu lini mweusi akamshauri mweupe ikamake sense? Wao na sisi yupi huona kesho zaidi ya mwenzie?
 
Wewe hebu acha kupotosha hapa. Hiyo research ya kuwa watu weupe ndio watu wenye akili kuliko wote alifanya nani na andiko lake liko wapi?!

How is intelligence linked to skin color or race?!

Msiwe mnabisha bisha tu.

Mwigulu Nchemba ni PHD holder ana kipi? hivi unajua heshima ya PHD nchi za wenzetu?
 
Back
Top Bottom