Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Tani moja ni sawa na lita ngapi za ujazo? Maana ndege moja si inasemekana kubeba abiria kama sabini hivi.
Za mapangaboi ndiyo the best kwa mazingira yetu yenye ndege asilia (birds) wengi angani. Hizo zingine huwa zinawafyonza hao ndege asilia kwenye injini zake ambao huharibu injini na kuhatarisha roho za abiria. Ndege za pangaboi hufyeka hao ndege asilia na kuwa kitoweo bila kudhuru injini zake.Ndege za mapanga boi...waendelee kubana matumizi ila siyo kwenye roho za watu..
siufanye magazijuto, sijui umesoma wapi shule ya msingi!watanzania na sisi hatutaki kuvishughulisha vichwa vyetu eeeenh hivi tunawezaje kufananisha vitu visivyo fanana kiuwezo? hivi ukubwa wa injini uko sawa mpaka tuseme 3.7 na 1.7 au idadi ya abiria na mizigo tuambiwe kwanza
Pangaboi!!!!Nimeelewa sana. Tatizo wavimba macho hupenda kuponda tu hata vitu wasivyovijua
ha ha haZinakula pumba
Siyo muujiza ni muugiza...!Silaumu wananchi kupinga kila lenye nia njema,ni malezi tuliolelewa ya kuto kuaminiana,ila awamu hii mimi inanipa matumaini sana,let us wait and see,Mungu ibariki Tanzania,pia tukumbuke kuwaombea hawa viongozi wetu waweze kuwa waadilifu maana bila ya kumtanguliza Mungu tusitegemee muujiza.
Aliesomaa ndioo anaelewa mpwaa sasa ukianzakufikiria zaidi loh na wasiwasi jama vyeti ulikuwa likizoHazili mafuta,...waziri amesema zinakula nini?
Waziri ana washauri MBUMBUMBU sana kwenye kitengo cha uchumihapo nmeelewa
Wewe mwana sayansi sio mchumiHapo sina swali maelezo nimeyaelewa
Ukizingatia mimi ni mtu wa aviation sijaona siasa hapo
Asante Baba Kazi njema