Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,834
Tehee kwahiyo utetezi kama huu unampa raia anayejitambua kama mimi na kisha anakwambia bravo(well done) mheshimiwa?Za mapangaboi ndiyo the best kwa mazingira yetu yenye ndege asilia (birds) wengi angani. Hizo zingine huwa zinawafyonza hao ndege asilia kwenye injini zake ambao huharibu injini na kuhatarisha roho za abiria. Ndege za pangaboi hufyeka hao ndege asilia na kuwa kitoweo bila kudhuru injini zake.