Waziri wa Uchukuzi atoa ufafanuzi kuhusu ndege mpya na ujenzi wa reli ya Dar-Mwanza

Oooh, government business:D:D:D Cool.

Yes govt business for now but be prepared to buy shares in the near future you will partly own the airline just like South African Airways, Kenya Airways, Ethiopian Airline which are registered in the stock exchange in their respective countries.
 
Hahaha... Haya bhana.... Ndege safi..dah
Unaposema kwa Cash haulip interest, ujue una Cash ambayo ni idle(haizalishi/huihitaji)
Wakat huo kuna issue za maji, umeme, ajira, kilimo nk....
Ngoja ninyamaze, kuna kitu kinaitwa "uchochezi" nowadays...
Kipi bora ununue chanzo cha mapato ambacho mapato yake yata saidia kumaliza kero hizo au utumie pesa hizo kumaliza kero hizo ukiwa huna chanzo endelevu kuweza kucover hayo matumizi?mimi naona hapa mh. Rais yupo sawa kabisa tena nampengeza kabisa
 
umeambiwa kulikuwa na option ya mkopo......chanzo cha mapato kipi?
 
umeambiwa kulikuwa na option ya mkopo......chanzo cha mapato kipi?
Mbona hapo hakuna ambacho serikali inhe save kama wangechukua mkopo?? Sasa angalia difference iliopo ukichua by cash na mkopo . naunga mkono serikali kufanya maamuzi ya kulipa cash coz gharama zimepungua
 
Kuna watu kazi yao ni kupinga kila jambo hata kama ni la maendeleo naona hasira za kutumbuliwa bado hazijaisha mnakera sana.
 
Nimekuja mkuu MOTOCHINI !nimemsikiliza Waziri,katoa majibu na maelezo mujarabu sana
Bila shaka waziri hupita hapa Jf na kusoma michango yetu.Maana kapita mule mule
Majibu ya waziri nayako sawasawa nilijua labda ndio wewe waziri, kumbe jf inamanufaa sana.
 
Fuatilia (LIVE TBC1) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akitoa ufafanuzi kuhusu Ndege mpya na Ujenzi wa Reli ya Dar-Mwanza.

View attachment 389944
==========

<UPDATES>

Kitwanga ajibiwa kununua kwa keshi hulipii riba pia unapata ubavu wa kujadili kupunguza bei

Zinatua viwanja vyoteee fast jet ili itue inabidi uwanja kuanzia km 2.8

Hizi zetu zinatua km 1.2

Hivyo zinaweza kutuaaa viwanja vyetu vyote tz

FastJet hawezi

Ulaji wake mafuta ni tan moja nusu kwenda na kurudi mwanza fast jeti inatumia tani tatu na nusu

Hivyo hata nauli zetu zitakua chini watanzania jiandaeni kupaaaa juuu

Dar mwanza hiz q100 zitatumia SAA moja na nusu

Tutajenga leli ndani ya miaka mitatu mwanza dar

Reli hi yo itatumia masaa kumi na mbili dar mwanza

Itakua na uwezo wa kubeba tanu elf tatu kwa tripu moja tafsiri jepesi safari moja ya treni itaua malori mia tatu

Name abilia 1500 kwa tripu moja

Lengo ni kupunguza malori ya mizigo barabarani kulinda Barbara zetu
Reli mpya ianze na watumishi wapya wote, maximalipo wapewe kazi ya kukata ticket ili ziwe za kielectronic pia ziwekwe camera za kuhesabu idadi ya abiria na mizigo. Tena tuajiri vijana watupu vile vibabu vibake kulekule kwa ya mkoloni.
 
Ati camera za kuhesabu mizigo? Mkuu umetisha.. Upo udom nini.. Au cbe?
 
Majibu ya waziri nayako sawasawa nilijua labda ndio wewe waziri, kumbe jf inamanufaa sana.
Kwa kweli nimefurahi kumsikia Waziri akipita mulemule!!JF imekuwa ya manufaa sana,hakika tukiitumia vizuri inatupa nafasi ya kufikisha mawazo yetu moja kwa moja kwa viongozi wetu
 
Utatoa tuu kura .utaelewa tu ,hadi 2020 sinawasi utabadili tu mawazo
Hakuna kitakachonibadilisha, sio kwamba JPM hafai, hapana. Shida yangu ni kuona CCM inapata somo (kura chache za raisi, wabunge kupungua kila uchaguzi ni somo zuri). Hii itawafanya wachape kazi, waweke viongozi wazuri, wawe checked (bunge lenye meno kweli), zisiwepo rulling cartels, nk. Mwisho wa siku faida ni kwa Mtanzania mnyonge.
 
Kuropoka kotee lakin ugumu wa ajira bado uko pale pale..mbona ili LA ajira hajaliongelea kwa upande wake?aache miemko yake ya kccm.
 
Back
Top Bottom