Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
there is nothing better than money! kama waliomtangulia wameiba na hawakushitakiwa , basi huo ni motisha tosha wa sospeter kuwa super dishonest minister. Hapo wizarani hata ukimweka bishop wa kanisa lolote awe minister hata acha kuwa mwizi. maana hufuatwa na offer ya kusomesha mtoto Losa Angels au Atlanta. nani aikatae, hata mimi mwenyewe siatikataa kama unaiba halafu hushitakiwi kama ilivyo kwa mawaziri waliotangulia.Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?