Waziri wa Malawi kasema haya...!

Hawaijui TZ wale wanyasa:
Sisi tumepigana, usheli sheli mara kadhaa na tukamweka Albert Reneè
Tumepigana Angola, Namibia, Msumbiji, Zimbabwe, Comoro, Uganda tukaiteka yote na kuidhibiti, kufundisha na kuwasaidia Polisario(Sahara Magharibi) kuwafundisha na kuwasaidia 'Umkhonto we Sizwe' kuwafundisha na kuwasaidia Congo ya Kabila.
hivi wanaijua hii CV ?

bonge la cv kaka
 
Who is that big Chimp behind this little monkey??

Au wanajua tumeishiwa budget ya Vita na mabomu yote yametulipukia wenyewe?

Mafuta wanataka kuwapa Waingereza,
Na ndio waliowaahidi Silaha kama vita ikianza, so we have to be care.
 
Wanajamii, inaonyesha wengi mna usongo wa vita na mnapenda Malawi ipigwe . . . Nashauri tuache Diplomasia ichuke mkondo wake . . . .

Ila hii inanikumbusha enzi zetu wakati wa mchaka mchaka tulimwimba sana Dr. Kamzu Banda alipodai ziwa ni lake . . .

Banda wa Malawi
Katuvalia ngozi ya Simba
Kututishia Watanzania
Hatujali, hatujali . .

Hapo ni mwendo wa kunyakua tu JKT . . .
 
Tusiombe vita wakuu. I know there are big nation (s) behind this!!! Wanataka kuwekeza pale kwe mafuta na inasemekana yapo mengi!! watalipia vita at any cost!! Tutaisha maana kina Vasco Da Gama watapanda ndege watatuacha tukifa, Liwalo na Liwe.

Labda waje wao, mbona Afghanistan wanachemsha huko na wanapigana na wavaa vikoi na kanzu !
 
Tutaipiga Malawi kwa manati na tutashinda vita

Usidhani ukubwa wa nchi /jeshi unaoamua uwezo wa nchi kushinda vita bali ni umahili wa askari wake na jinsi wanavyomudu silaha za kisasa!! Israel ni nchi ndogo iliyozungukwa na maadui wa kiarabu lakini ina nguvu za kijeshi kuliko hao waarabu combined!!! Do not underestimate the military might of Malawi especially now when Tanzania is saddled with many internal problems.
 
Military might my ...!!!
 
aisee hawa jamaa hata wasijaribu, sisi wa huku karibu na mpaka ndio tunaona maandalizi ya Tz, halafu jamaa ulinzi wao hovyo yaani hata viwanja vya ndege ikulu hawajavilinda mpaka sasa.
 
Usilete habari za Wazayuni ukavuruka uzi ! Mbona walichemsha kwa Hassan Nasrallah wa Hizbullah !
 
Tusiombe vita wakuu. I know there are big nation (s) behind this!!! Wanataka kuwekeza pale kwe mafuta na inasemekana yapo mengi!! watalipia vita at any cost!! Tutaisha maana kina Vasco Da Gama watapanda ndege watatuacha tukifa, Liwalo na Liwe.

Acha woga wewe.Taja hizo big nation acaha udaku.hizo big nation kwa nini zisije kwetu ambao wao wanajua tuna haki
 
Wabongo tungoje kupigwa tu, hatuna jeshi bali tuna askari walevi wanaojua kucheza gwaride na mabomu mabovu mabovu yaliyo expire.
 
na askari wetu walvi wanashinda kugombea wanawake na raia. wanachojua sana sana ni kupiga raia na kutolipa nauli kwnye daladala
 
aisee hawa jamaa hata wasijaribu, sisi wa huku karibu na mpaka ndio tunaona maandalizi ya Tz, halafu jamaa ulinzi wao hovyo yaani hata viwanja vya ndege ikulu hawajavilinda mpaka sasa.
Afadhali ulinzi wao, wakwetu huku Tanzania ndio umekufa kabisa.

Yaani unaweza kuingiza chochote ndani ya nchi yetu(eg. silaha,wasomali,madawa ya kulevya,meli za mafuta,mabomu) na unaweza kutorosha chochote nje ya nchi yetu(eg. samaki,dhahabu,magogo,mchanga,Tembo,Twiga,Simba).

Uliza sisi wavuvi wa Feri tuliopo karibu na ikulu ya magogoni tukwambie jinsi ilivyo rahisi kuingia ikulu yetu.
 
Acha woga wewe.Taja hizo big nation acaha udaku.hizo big nation kwa nini zisije kwetu ambao wao wanajua tuna haki

Wewe ndo mwoga zaidi ya mbwa koko. Zitaje wewe basi. Nani amekuambia mimi ni mtu wa udaku? Give me a break!!! Wewe ndiyo wale wa malawi tunaowalea hapa nchini na vyeo mnavyo. Siku na saaa itakuja mtafunga virago wote tubaki na nchi yetu sisi wazalendo. Tumewalea halafu mnaleta za kuleta!!! Kaulizeni kizazi cha Idd Amini kikiuleze kichapo na hali ya maisha yao kwa sasa.
 
Usidhani ukubwa wa nchi /jeshi unaoamua uwezo wa nchi kushinda vita bali ni umahili wa askari wake na jinsi wanavyomudu silaha za kisasa!! Israel ni nchi ndogo iliyozungukwa na maadui wa kiarabu lakini ina nguvu za kijeshi kuliko hao waarabu combined!!! Do not underestimate the military might of Malawi especially now when Tanzania is saddled with many internal problems.

We tanzania unaijua au unahadithiwa tu,malawi hawatuwezi hata usingizini,wamekosa shukrani,hawana tofauti na mbwa ambae hata ukimtandikia godoro atakalia mkia tu.
 
Tanzania as a country has never been so polarized as it is today; if what happened to the Kagera salient took place today , we would be having different Tanzanian territorial boundaries; thank GOD Nyerere was at the helm then and rallied the populace to the cause of defending our country otherwise our country would have been reduced in size!! Kikwete does not have Nyerere's clout!!
 
this is very stupid thinking coming from arabu tanzanians,
people in the border of malawi and tanzania are related. Now the stupid arab man wants them to fight?
Very stupid
 
Tutamchapa Malawi siku moja tu. Kama Wamalawi mnajiamini tangazeni vita.
 
we we nimumasikini sana. You are such a poor slut... Do you the cost of war. Half of tanzanians are poor and you saying tutachapa malawi!!!!! Go to school poor arab man. War is expensive you can afford it. Stupi man.
 
Back
Top Bottom