Waziri wa Elimu, kwa mgomo huu unasubiri nini kujiuzulu?

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Waziri wangu unasubiri nini kuachia ngazi ili kudhihirisha kuwa uongozi umekushinda? Mgomo huu ni kiashiria kuwa umepwaya. Iga mwenzako wa Zanzibar pale unapohisi umefeli. Vitisho havifai.
 
Aibu sana huyo bwana sasa amebebwa hadi imetosha sasa,kila wizara akiwekwa anaharibu na lazima migomo iwepo!!huu ujomba huu umetufikisha hapa
 
Fomu zinasambazwa kwa walimu. Ajaze cheq no.yake. Na aamue moja anaunga mkono mgomo au haungi.
 
Fomu zinasambazwa kwa walimu. Ajaze cheq no.yake. Na aamue moja anaunga mkono mgomo au haungi.

Mbona hawajaniletea fomu hizo nyumbani? Sijaziona, niko home nimechill na sijatimba skonga!!!!
 
Hilo haliwezekani kwa waziri wa ccm.
JAMANI WATANZANIA WENZANGU, HIVI NYIE HAMJUI KUWA ccm HAIIMARISHI ELIMU BALI INAIMALISHA CHAMATUU? yeyey hapo haoni kosa ila anaona ni byeeee!
 
Back
Top Bottom