chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,227
- 20,998
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea.
Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja viongozi wenzake walionunua viwanja kihalali pale Jiji la mwanza na anafanya kama anataka kuonyesha kwamba anawatuhumu kiaina na kuwafisadisha.
Je, ana chuki na Dk. Tulia? Je ni sehemu ya Gang la Ndugai?
Alishindwa nini kutafuta Suluhu mpaka ataje watu? Na waliogawa si ni wa wizara yake? Imemshinda kuisimamia?
Au ndio kabaki kusingizia kwamba lukuvi anamchapa na unga wa miti apate salala na ndio maana alipogusa bunge tu kama Waziri akakutana na spana? Eti lukuvi anaitaka wizara yake.