Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,012
20,685
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea.

Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja viongozi wenzake walionunua viwanja kihalali pale Jiji la mwanza na anafanya kama anataka kuonyesha kwamba anawatuhumu kiaina na kuwafisadisha.

Je, ana chuki na Dk. Tulia? Je ni sehemu ya Gang la Ndugai?

Alishindwa nini kutafuta Suluhu mpaka ataje watu? Na waliogawa si ni wa wizara yake? Imemshinda kuisimamia?

Au ndio kabaki kusingizia kwamba lukuvi anamchapa na unga wa miti apate salala na ndio maana alipogusa bunge tu kama Waziri akakutana na spana? Eti lukuvi anaitaka wizara yake.
 
#WANM-mzigo
WANM anajua kuwa NWANM ana mizizi kuliko yeye! Anajaribu kucheza kwa step. Nilisikiliza interview yake kwenye kipindi cha DAKIKA 45, japo awali sikuwa na interest nacho lakini nilijikuta nakifuatilia hadi mwisho. Nafikiri ni WANM ni mzigo mwepesi.
 
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea.

Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja viongozi wenzake walionunua viwanja kihalali pale Jiji la mwanza na anafanya kama anataka kuonyesha kwamba anawatuhumu kiaina na kuwafisadisha.

Je, ana chuki na Dk. Tulia? Je ni sehemu ya Gang la Ndugai?

Alishindwa nini kutafuta Suluhu mpaka ataje watu? Na waliogawa si ni wa wizara yake? Imemshinda kuisimamia?

Au ndio kabaki kusingizia kwamba lukuvi anamchapa na unga wa miti apate salala na ndio maana alipogusa bunge tu kama Waziri akakutana na spana? Eti lukuvi anaitaka wizara yake.
SPIKA NDIO NANI MPAKA ASICHAFULIWE?MBONA SPIKA NDUGAI ALICHAFULIWA ? WALIOTAJWA KUPEWA VIWANJA NI WENGI NA SPIKA KAPEWA ULITAKA ASITAJWE? Wakati mwingine Tumia Akili hata kidogo
 
Kuna watu wa ajabu sana nchi hii. Watu wasipotajwa mnasema wanalindwa, wakitajwa nongwa! Acheni viongozi wa serikali watimize wajibu wao kwa mujibu wa sheria. #Acheni uchonganishi wa viongozi. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom