Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri
Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu wake kabla ya kuitoa kwa umma na kuharbu soko la matunda.
Duniani kote Wizara za Afya hutoa kiwango cha sukari anachotakiwa kula mtu
Halafu wanatoa viwamgo vya sukari katika bidhaa mbalimbali
Na mtu anayekula machungwa matatu kiwango cha sukari anachopata hakifikii anayekunywa soda.
Sisi wakulima wa matunda na wafanyabashara tunaliona hili kama vita ya biashara kama tunaua mizunguko hii hivi tunategemea kutengeneza ajira vipi?

- Soda
- Bia
- Machungwa
- Nanasi
- Ndizi
- N.K