Waziri Saada Salum Mkuya ashindwa kujibu hoja za kamati.! Alia kama mtoto.!

Sijasoma gazeti, aliyesoma anisaidie tafadhali. Alivyomaliza kulia alijibu hoja au hakujibu?
 
Hakuna cha maaana madaraka ya kupeana ndio hayaa jmniiiiiii na hiii ndio ile kaúli ya kwamba "ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera tuone kufuru za wenye hera " ndo hiiiiiii
 
weka picha hoja kama hii haizungumzwi kitoto kama unavyofanya mburula wewe.
K.enge maji ww picha huoni. Nenda Lumumba kachukue buku 7 ki.ma jike ww kapandwe na kima dume


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Waziri mkuu na waziri wafedha inabidi wawe wanatembea na vichupa vidogo wakilia tuwe tunatega machozi yawekwe kwenye makumbusho ya mawaziri vilizi
 
Ila analia vizuri jamani acha tu! Nampongeza mpiga picha imemtoa bomba yaonesha anajua kudeka vizuri.
 
Wateule wa Kikwete wengi ni sub-standard; wanalia machozi kwa kuhojiwa tu!!! Alianza Pinda na sasa huyu mama ambaye watu walihofia toka mwanzo kuwa asingeweza kuimudu hiyo wizara na sasa utabiri umedhihilika kwa waziri kuangua kilio baada ya kuulizwa maswali!!!

Hata Kinana alimwaga chozi mkoani Tabora!

Wana CCM kwa hawaishi vituko! Wanataka huruma ya Watanzania!
 
Kiongozi bora na thabiti ni yule anaeteua wasaidizi wake waliobora pengine kuliko yeye ili wamletee sifa kiutendaji na ufanisi kwa maendeleo ya nchi lakini kiongozi DHAIFU ni yule anaeteua wasaidizi wabovu na wenye uwezo wa chini kuliko yeye ili waendelee kumuabudu na kumyenyekea huku wakishindwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hayo sio machozi ya udhaifu bali ni machozi ya kushindwa kuwaelewa wa Tz - Kamati inatoa povu vyanzo vya mapato viongezwe na visiwe vilele (traditional) wakati huohuo wanakwamisha mswada wa kufuta kodi zisizo na tija kwa kisingizio cha kuwahusisha "wadau" - mdau mwenyewe mfanya biashara / self styled "mwekezaji" wa TZ aliyezoea kugema bila kupanda minazi - thubutu!! kama hawawezi waende kuzimu.

kama mfanyabiashara ni mzalendo wa kweli na anaitakia mema nchi hii aende Hazina akaseme anatozwa kodi ndogo - huyo tunamsubiria kama tunavyomsubiria Messiah (mimi ni Mkristo - na declare interest)
 
Hivi bajeti bado haijapita? wale kamati aliwaeleza ukweli kwenye majumuisho yake hawana lolote jipya
 
Hatimaye picha kamili ya utendaji wa waziri wa fedha na uchumi bi Saada Salum Mkuya imeanza kudhihirika baada ya kupatwa na jazba na kisha kulia mbele ya kamati ya bunge ya bajeti pale alipokuwa akibanwa ajibu hoja za kamati hiyo.Bi Saada alikuwa kituhumiwa na kamati hiyo kwamba aliidhalilisha pale ambapo alikuwa akifanya majumuisho ya bajeti kuu ya serikali mwaka 2014/2015 bungeni.

Waziri huyo alituhumiwa kwamba ameidhalilisha kamati hiyo pale aliposema kuwa kamati hiyo haiitendei haki serikali kwa kuikosoa kushindwa kubuni vyanzo vizuri vya mapato.Kutokana na madai hayo waziri huyo wa fedha alitakiwa kujieleza mbele ya kamati hiyo hali iliyomfanya kupatwa na jazba na kuishia kulia hali iliyowafanya wajumbe wa kamati hiyo kupata hofu kwamba waziri huyo angeweza kupata shinikizo la damu.

Waziri Mkuya Saada Salum amekuwa akilalamikiwa na watumishi wa wizara ya fedha kwamba ni mtu mwenye kupatwa na jazba kwa haraka sana na asiyependa kuhojiwa.
attachment.php

- Kumbe Source ni lile lile gazeti lenye makao makuu Bilicanas kwa Mwenyekiti, ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz System
 
Hayo sio machozi ya udhaifu bali ni machozi ya kushindwa kuwaelewa wa Tz - Kamati inatoa povu vyanzo vya mapato viongezwe na visiwe vilele (traditional) wakati huohuo wanakwamisha mswada wa kufuta kodi zisizo na tija kwa kisingizio cha kuwahusisha "wadau" - mdau mwenyewe mfanya biashara / self styled "mwekezaji" wa TZ aliyezoea kugema bila kupanda minazi - thubutu!! kama hawawezi waende kuzimu.

kama mfanyabiashara ni mzalendo wa kweli na anaitakia mema nchi hii aende Hazina akaseme anatozwa kodi ndogo - huyo tunamsubiria kama tunavyomsubiria Messiah (mimi ni Mkristo - na declare interest)

Hapo kwenye red una maana gani ID yako umeweka neno MAKAH mji mtakatifu wa Kiislamu?
 
Mwenye akili yeyote ukimwambia wizara ya fedha inaongozwa na 1: Saada Mkuya, 2: Mwigulu Nchemba, na 3: Malima Jr basi atakuambia maendeleo mtayasubiri sana na hayatatokea
 
Serikali na wizara zake,wamejaa wala magendo tuu.
Walimuua mwadilifu mgimwa,huyu binti mkuya hana lake hapo,yy ni punda wa mzigo wajanja wamejificha nyuma ya keyboard
 
Back
Top Bottom