Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

safi sana prof ndalichako, hakika wewe ni prof wa ukweli kama prof muhongo, GPA zimeshusha sana elimu ya nchi yangu. usiishie hapo pandisha na viwango vya ufaulu.
Nampongeza saana Dr Ndalichko. Halafu hiyo k2 inayoitwa continuous assessment kwa secondary ni jipu lingine. How do they maintain standard
 
Ashauriwe vizuri,hakuna haja ya kurudi nyuma . Huo mfumo hauna tatizo issue NI kusimamia hivyo viwango. Asitafute kick kuna changamoto nyingi anatakiwa azitatue kwanza ikiwemo ya Ada elekezi

Hapana haja iko. Utawala uliopita ulileta ujinga mwingi.
Matangazo ya kuondoa division na kuweka GPA na mambo ya merit na distinction. Mambo ya division 5. Yakaja tena matangazo ya Rais; wenye digrii kufundisha shule za msingi, yakafuatiwa na waziri kutangaza wenye diploma kufundisha shule za msingi na kuondoa daraja IIIA.

Hatuwezi kukumbatia changes hata kama hatukujua faida yake. Mbona tuliondokana na uchafu wa Mungai na kurudi kwenye combinations zetu za zamani. Tunataka Elimu na siyo choreography za kupamba watoto. Tulifikia hatua ya kupanga sera au kuleta changes kwa sababu ya matatizo ndani ya familia zetu. Watoto wako wakishindwa mitihani unagoma bungeni na kutaka mitihani isahihishwe upya. Anapewa mjinga mmoja anapanga upya halafu baadaye anapewa ukatibu mkuu! Serious nonsense!
 
Hayaa mambo gpa ndo yale ya kuchanganya chemia na biology inakuwa somo moja
Tanzania inamambo ya ajabu mpaka unaweza lia
 
Kula like!
 
GPA na division kimsingi ni kama magoli. Unaweza kuyatanua au kuyapunguza. Nakubaliana na maoni ya watu humu ndani. Ni bora angekomaa na maswala ya msingi sana kama low motivation to teachers (no allowance, kutotambulika kwa baadhi ya elimu za walimu kama MA & PhD, kuondoa nyaraka kandamizi na watoto kutopenda kusoma masomo ya historia za sayansi kama physics, chemistry or biology badala take wanapenda kusoma historia ya historia au lugha na geography. Tunategemea prof. aje na mbadala hats tendo la vyuo vya ualimu kufundisha grade IIIA wakati imefutwa na watoto kusoma miaka 5 kama wanasoma MD
Hizo historia za sayansi!!! Pia aziangalie vizuri, maana walimu wanaozifundisha wananung'uñika sana sababu wanabebeshwa zigo la vipindi!
 
Nashangaa Ndalichako acha usanii maana hilo baraza ni wewe ndiyo uliloliandaa
Au kisa ni huoj uwaziri pole
 
Ndo wasomi wetu hawa jamani yani hapo anafijiria mfumo wa kupanga just KUPANGA tu! Kwani huyu akiita first class huyu akaita division one tatizo liko wapi? Hajui lengo la education ni nn ye anajua matokeo ndo elimu! Kumbe elimu ina lengo la kumsaidia mtu kumudu mazingira! Huo mfumo wa divishen ulisaidia nn toka Uhuru!?
 
JF-Expert member unaandika kitu kisicho eleweka kwa wasomaji? Kuandika hujui!

Mods tafadhalini sana...hii title ya expert sio ya kupewa hata vilaza. Huyu member hata kuandika hajui ila ana title ya expert!

Invisible
 
Hili swala tukiangalia vizuri tutakuta lilifanywa kisiasa sio kitaaluma ili kuondoa aibu kwa serikali kwasababu walipokuwa wakitoa matokeo wanafunzi wengi walikuwa ni waliopata division za chini, wakaona wakitumia gpa itafichaficha picha halisi ya matokeo.
 
Ndalichako hapohapo shikilia, mi n mzaz yaan majpa huwa siyaelewi lkn wakisema div one, two aaa fasta tu
 
JF-Expert member unaandika kitu kisicho eleweka kwa wasomaji? Kuandika hujui!

Mods tafadhalini sana...hii title ya expert sio ya kupewa hata vilaza. Huyu member hata kuandika hajui ila ana title ya expert!

Invisible
We we mwenye hiyo #logo yako ya FISIEM inanitia kichefuchefu
 
12439246_1020093374721787_9064153944423443949_n.jpg
 
GPA kama GPA hazina shida, ila scale za madaraja ya kufaulu ipandishwe, B isiwe 50 bali iwe juu.
Lakini pamoja na kutumia G.P.A Pia ondoa majina ya Merit ,Distinction etc, Tumia majina yaleyale ya zamani kama Division one, two, three, four and FAIL ( Hapa kama unaona jina Fail lina ukakasi kwa saikolojia ya mtoto basi tumia jina division Five).
Wadau fahamuni kuwa Division Zero huwa siyo jina rasmi, Jina rasmi huwa ni Fail!
 
Prof.ndalichako hongera sana!
swala hili lisianze kwa haraka kiasi hicho,lianze na uimarishaji hasa ktk ufundishaji,kwa sababu mfumo uliokuwepo uliwalainisha sana wanafunzi nakumbuka hata watoto wajinga kabisa na wasiojua kusoma walijikuta ati "wamefaulu"
N.B
****
MFUMO HUU UTAKAPOA ANZA KWA HARAKA KITAKACHO KUJA TOKEA NI "A MASS STUDENT FAILURE" AMBAYO HAIJAPATA KUTOKEA!/
WHICH SHALL BITE YOU / COMING FEW DAYS,
kutokana na kundi kubwa la watoto kufail direct majority watakimbilia "hufai"/ ambalo litakuwa sio kosa lako!
#kionambali.
 
Last edited:
Wala sioni kama atakuwa amekosea sana ila akumbuke prime factor kwenye elimu ni Mwalimu. Jaman hata ungekuwa na fast jet Mpya kama huna rubani wa kuoparate your over. Narudia tena rudi kwenye maslai kwanza ya walimu ili ule mgomo wa kimya kimya uishe yaani tunahitaji allowance kama wanavyolipwa watumishi wengine wa serikali kama askali n.k, tupatie mishahara inayoendana na mfumuko wa bei maana mnasababisha wenyewe, ondoa nyaraka kandamizi ambazo Mwl unajiendeleza unapata Masters au PhD unaporudi kazini unambiwa eti hiyo hatuitambui kwahiyo mnapenda watoto wenu wafundishwe na walimu wasio na weredi wala wabobevu. Nawapeni case study moja miaka ya 60's & 70's kulikuwa na walimu wa UPE hapa nchini waliweza kufundisha darasa la saba wenzao na wengi wetu ni matunda yao tuliweza KKK bila shida ijekuwa leo ambapo mpaka primary kuna walimu wenye PhD. Jaman msizunguke tatueni tatizo msipoelewa leo mtaekewa kesho siku hazigandi
 
Last edited:
Back
Top Bottom