womanhood
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 609
- 881
Watulipe kwanza pesa yetu ya usimamizi wa mitihani mbafu zao...
Duh! Mtihani gani huo ambao haujalipwa, maana pesa zilitolewa kabla shule hazijafungwa, nenda kaulize kwa DEO wako, pole sana
Watulipe kwanza pesa yetu ya usimamizi wa mitihani mbafu zao...
Nampongeza saana Dr Ndalichko. Halafu hiyo k2 inayoitwa continuous assessment kwa secondary ni jipu lingine. How do they maintain standardsafi sana prof ndalichako, hakika wewe ni prof wa ukweli kama prof muhongo, GPA zimeshusha sana elimu ya nchi yangu. usiishie hapo pandisha na viwango vya ufaulu.
Ashauriwe vizuri,hakuna haja ya kurudi nyuma . Huo mfumo hauna tatizo issue NI kusimamia hivyo viwango. Asitafute kick kuna changamoto nyingi anatakiwa azitatue kwanza ikiwemo ya Ada elekezi
Kunawengine wamezowea kuchangia udaku.sasa wataalam si ndo watendaji wa necta?Hujasoma hapo kuwa kuwataka watendaji wa NECTA wafanye tathmini?
Hayaa mambo gpa ndo yale ya kuchanganya chemia na biology inakuwa somo moja
Tanzania inamambo ya ajabu mpaka unaweza lia
Hapana haja iko. Utawala uliopita ulileta ujinga mwingi.
Matangazo ya kuondoa division na kuweka GPA na mambo ya merit na distinction. Mambo ya division 5. Yakaja tena matangazo ya Rais; wenye digrii kufundisha shule za msingi, yakafuatiwa na waziri kutangaza wenye diploma kufundisha shule za msingi na kuondoa daraja IIIA.
Hatuwezi kukumbatia changes hata kama hatukujua faida yake. Mbona tuliondokana na uchafu wa Mungai na kurudi kwenye combinations zetu za zamani. Tunataka Elimu na siyo choreography za kupamba watoto. Tulifikia hatua ya kupanga sera au kuleta changes kwa sababu ya matatizo ndani ya familia zetu. Watoto wako wakishindwa mitihani unagoma bungeni na kutaka mitihani isahihishwe upya. Anapewa mjinga mmoja anapanga upya halafu baadaye anapewa ukatibu mkuu! Serious nonsense!
Hizo historia za sayansi!!! Pia aziangalie vizuri, maana walimu wanaozifundisha wananung'uñika sana sababu wanabebeshwa zigo la vipindi!GPA na division kimsingi ni kama magoli. Unaweza kuyatanua au kuyapunguza. Nakubaliana na maoni ya watu humu ndani. Ni bora angekomaa na maswala ya msingi sana kama low motivation to teachers (no allowance, kutotambulika kwa baadhi ya elimu za walimu kama MA & PhD, kuondoa nyaraka kandamizi na watoto kutopenda kusoma masomo ya historia za sayansi kama physics, chemistry or biology badala take wanapenda kusoma historia ya historia au lugha na geography. Tunategemea prof. aje na mbadala hats tendo la vyuo vya ualimu kufundisha grade IIIA wakati imefutwa na watoto kusoma miaka 5 kama wanasoma MD
Kwa nn nisi likeNdalichako yuko sahihi,miaka ile mwanafunzi akipata div 3 ni mkali sana ila kwa sasa hata div 1 in sawa na div 5
We we mwenye hiyo #logo yako ya FISIEM inanitia kichefuchefuJF-Expert member unaandika kitu kisicho eleweka kwa wasomaji? Kuandika hujui!
Mods tafadhalini sana...hii title ya expert sio ya kupewa hata vilaza. Huyu member hata kuandika hajui ila ana title ya expert!
Invisible