Mr. Mwalu
JF-Expert Member
- Feb 4, 2010
- 1,057
- 561
Waziri mwenyewe katokea vodacom! Wategemea nini?
hapo hatuelewi somo...hata wakishusha toka bilioni 185 hadi 90 .....hatuwaelewi ...haitoki pesa hapa ......watoe waone....hawa dowans hawatalipwa hata senti!!!!!!!
kama walivyokubali kuingia kwenye mazungumzo sakata umeya arusha....na kuachia mwanza na hapo hapo kukimbilia kutangaza majina ya wakurugenzi wa dowans ....ndivyo hinyo watashindwa kuwalipa hata senti hawa dowans.....
watanzania wa sasa sio wale wa zamanii...tunajuwa malipo ya kiasi hicho ni lazima yaidhinishwe na bunge .........na wananchi wote wataangalia nani atayeidhinisha...na kama wataamua kulipa bila kuidhinisha bungeni kama utaratibu basi wataona matokeo..........