Hivi hata huyu ambaye hajui kitu zaidi ya ufisadi na uzinzi naye anajitutumua kuongea wakati tayari nchi imeishia gizani? Hii inaweza kutokea hapa Tanzania peke yake. Natamani mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lije hata kesho then liwe kama ile radi ya Sumbawanga, yamkumbe yeye peke yake ili nchi hii ipige hatua! Ngeleja ni janga la Taifa!
Bado natafakari ukubwa wa twiga na ukubwa wa madini (physically) labda twiga walimficha chini ya kuti hakuonekana madini wataona POOR GOVERNMENT........ntarudi badae kuchangia bado natafakari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.