Waziri Ngeleja asema Dr. Slaa apuuzwe kuhusu utoroshwaji wa madini yetu

Yaani hapa tuhesabu maumivu kote kote, kwenye nishati zero, na kwenye madini zero...........
 
Huyu anajua Megawati tu hana lolote

Hivi hata huyu ambaye hajui kitu zaidi ya ufisadi na uzinzi naye anajitutumua kuongea wakati tayari nchi imeishia gizani? Hii inaweza kutokea hapa Tanzania peke yake. Natamani mabadiliko ya Baraza la Mawaziri lije hata kesho then liwe kama ile radi ya Sumbawanga, yamkumbe yeye peke yake ili nchi hii ipige hatua! Ngeleja ni janga la Taifa!
 
Bado natafakari ukubwa wa twiga na ukubwa wa madini (physically) labda twiga walimficha chini ya kuti hakuonekana madini wataona POOR GOVERNMENT........ntarudi badae kuchangia bado natafakari.
 
Back
Top Bottom