Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

Katikati ya mgogoro wa mpaka kati ya TZ na Malawi, huyu naeanataka kukinukisha hajasikia Raisi Joyce kamaindi? KIKWETE ANAKAZI!..
 
kwa mtindo huu, taifa litazidi kuwa masikini. serikali imeshindwa kuwatumia wataalam wake iliowasomesha kujiendeleza.
kwa maneno haya. mulugo anatakiwa kujiuzulu!!!
 
Clouds wanadanganya.. mbona hawajaleta hayo mazungumzo hadi sasa?
Tumeshasubiri zaidi ya 45 mins toka waseme wanaleta.
 
anasema ilikuwa ni power point?????anakiri kutamka hivyo lakini hakuwa na nia ya kutamka hivyo
 
Anasema alichotamka sio kilichokuwa kimeandikwa kw power point na watu wwalikuwa wameconcentrate kw power point na anadai ni slip of the tongue....
 
Mimi ni mwalimu wa History na Economics sikugundua nimetamka Zimbabwe....
 
power presentation ndio nini? flip of tounge, historia inajulikana hata mtoto wa darasa la tatu anajua, amekiri kweli alikua anaongea bila kujua
 
Yaani utetezi ni hopeless kabisa.... eti anadefend ile one nineteen sixt four eti alikuwa anataka kusoma digit moja....
 
kasema alikosea ni mgeni kutumia powerpoint kwenye presentation

ni mwalimu siku nyingi wa history na geograpy
alikosea kusema zimbambwe badala ya zanzibar
zimbambwe ilikuja kichwani kwani presentation iliyokuwa imetangulia ilikuwa ya zimbambwe
 
analeta siasa

angekubali tu kwamba kakosea na anomba msamaha

ila sasa anakosea kuonge sana
 
Ngoja nikifika ofisini nitaiattach clip yake nimefanikiwa kuirecord anavyojiteea sijaona kipya
 
Back
Top Bottom