Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukolo, Oct 21, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,129
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38


  Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?


  update: Kuna makosa mengi ukiachilia mbali hilo la Zimbabwe. Katika speech yake anaanza na Tanzania ilizaliwa mwaka one nineteen sixty four. Wewe unaifahamu hiyo 1-1964? lakini cha ziada anasema NACTE inaoffer master na PhD. Wewe unaifahamu NACTE ni nini? NACTE inatolea wapi hizi degree? Yaani at the level of waziri wa elimu huwezi kutofautisha NACTE, TCU na vyuo vikuu? What are you doing katika wizara ya elimu kama vitu vidogo kama hivi kwako ni shida?

  Kwa level ya waziri wa wizara ya elimu alitakiwa awe na uwezo wa kufafanua vizuri nini ni nini katika elimu ya Tanzania. Kwa watu ambao hawajui NACTE ni nini wanaweza kudhani ni chuo kikuu. Na wengi watakuwa wanashangaa sana kwamba ni chuo kikuu gani hicho kinachopigiwa chapuo kiasi hicho na Naibu waziri ilihali kuna vyuo vikuu vingine vingi nchini vinavyo award hiyo master na PhD. Ulikuwa ni wajibu wake kudefine NACTE na kueleza institution zinazounda NACTE na namna ambavyo NACTE inafanya kazi ya kuassure quality ya hizo institutions, na si ku award Master na PhD.

  mulugo.jpg
  Picha kwa hisani ya global publishers
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mgomba101

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Original Comedy wanawaita vilaza! wakenya wanawaita mburula! Aibu kwa taifa! Ndio maana waTZ tunadhaulika sana kimataifa.Migiro alichemka UN,Tibaijuka alichemsha UN-habitat!
   
 3. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,293
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Nimeisikiliza nimecheka sana. Utafikiria ni Zekomedi!!!!!
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,129
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Haha, jamaa hata English yake tu kichekesho. Full comedy yaani. Kwa kweli nina wasi wasi sana na uwezo wa huyu jamaa, kuna siku niliwahi kualikwa kwenye ufunguzi wa kituo fulani hapa Dar, jamaa hakuongea chochote cha maana zaidi ya kutulazimisha tumpigie makofi. Nilikuwa namshangaa sana, how on earth unaweza kuwaambia wasikilizaji wakupigie makofi badala ya wewe mwenyewe uongee kitu cha kukufanya upigiwe makofi. Ningekuwa JK, huyu angeshaondoka kwenye uwaziri tangu siku aliyotoa speech hii!
   
 5. k

  katundu Senior Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Zecomedy
  Hao ndio maprofessor wetu wa bongo. Ndio maana na Dhaifu hawezi kuongea chochote cha maana alifundishwa na akina Mulugo. Natamani niwepo kwenye mikutano yao ya baraza la mawaziri. Unatarajia nini kwenye elimu kama wazirii ndio huyo?? Sishangahi kuona wanamweka tena Dr Katunzi kwenye elimu yeye na Mungai walitoa vipindi vya science katika ssule zote za sekondari
   
 6. don12

  don12 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 642
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  ilingishi kama ya mama kinda, anayesema, senkyu vere mache
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R JF Tanzanite Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Huyu ni kilaza namna maelezo ....
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni aibu! napendekeza ajiuzuru mara moja au aombe msamaha.
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,852
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Zimbabwe and Pemba?Mungu wangu
   
 10. m

  mabuba JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Juzi pia alitoa mpya aliposema, wanafunzi wa kidato cha nne, leo wanafanya somo la Agricuturing. Ah ha ha
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,466
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 63
  jamaa alikuwa mwalimu wa shule ya msingi hana elimu ya chuo kikuu, angalia cv yake kwenye tovuti ya bunge
   
 12. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,293
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Mbona ile Power Point imeandikwa Pemba & Zanzibar lakini yeye akasema Zimbabwe & Pemba.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,106
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 38
  Naaaaaaaah.... Naibu waziri (wa elimu)? Zimbabwe imetoka wapi Tanzania? Huo mkutano umefanyika South Africa, kuna ulazima gani wa Naibu waziri kuanza kusema Tanzania inapakana na nchi gani, anahutubia watoto wa darasa la kwanza?

  Hii clip inabidi CABINET nzima ione, jamnani hakuna mtu aliyeipitia hiyo presentation kabla mheshimiwa hajapanda ndege?
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah kama waziri wa elimu kilaza hvyo wategemea kupata product gan?pemba na zimbabwe hii kali
   
 15. n

  nlambaa JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo bongo bwana, usishangae wakati mwingine ndo atakuwa waziri mkuu wetu. Nimewahi pia kumsikia kama mara mbili hivi, nikajiuliza sana kuhusu uwezo wake.
   
 16. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,293
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Labda sio MTANZANIA!!!!!!!!!!
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,852
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Nilichogundua kabla ya utandawazi kuna mambo mengi sana yamevurundwa na viongozi wetu sisi bila kujua
   
 18. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 2,071
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  nimeona cv yake jinsi alivyopanda vyeo inatia mashaka
  cv pia haijaandaliwa vizuri
  nani kamwandalia hii hotuba?
   
 19. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kumshikia kidedea aondoke kwenye ofisi nyeti kama hiyo, JK ampangie kazi nyingine anatuaibisha sana. Hafai kwenye hiyo nafasi. Hope UWT wanaiona hiyo aibu, na watasaidia kufikisha ujumbe!!
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,934
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  hadi nimehisi kichefuchefu, ni kilaza mkuu kati ya mawaziri wote
  yaani hata introduction anasoma hawezi kutaja muungano umetokana na nchi zipi
  fun enough hata pronunciation yake ni ya utata nadhani amefaulu kwa kudesa.
  a minister yewomi shame upon him kaliabisha taifa kajiabisha yeye na familia yake
  kamwaibisha pia aliemteuwa,
   
 21. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #21
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 38
  Labda its a slippery of the tongue but personally ni mawaziri wachache wa JK ambao ninawakubali ambao hawafiki watano!
  As most are just minister by accident
   
 22. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #22
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,129
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Katika hali ya kawaida ilibidi waziri mwenyewe asimame na kujitetea mbele ya watanzania ni nini kilichomsibu hata aseme haya. halafu sijaelewa hata hilo neno indian ocean hapo limeingiaje. yaani ni full mchanganyo. Kwa ujumla Mulugo uwezo wake unatia shaka sana. Hata kwenye kujieleza tu kama anavyosikika hapo inaonekana ni shida.
   
 23. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #23
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,129
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Mmmh, sijui! Lakini kwenye suala zima la presentation kwa kweli nadhani yupo weak, hata kama ingekuwa ni ya kiswahili. Ila kwenye actions anajitahidi. Huyu ni style ya akina Kawawa. Ni mzuri kwa utekelezaji lakini siyo presentation.
   
 24. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #24
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,129
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Duh, hii nayo kali. Akishindwa kuitambulisha Tanzania basi atakuwa si mtanzania? For sure kuna waMozambique na wazambia wengi sana wanaweza kuitambulisha Tanzania vema sana. Maana jiografia haiwahusu watanzania peke yao. Sasa sijui kwa speech hii atasimamaje kuwakolomea walimu wabovu ilihali yeye mwenyewe mbovu!
   
 25. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #25
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Umenifanya nitabasamu mwenyewe....

  Senkyu vere macheee.
   
 26. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #26
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,245
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mburula:A S tongue:
   
 27. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #27
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 11,426
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 48
  Kwakua kunamchakato wa kutafuta vazi la taifa, hiyo iwe lafudhi ya tz kama ilivyo ya Naigeria ya "thankoo".
   
 28. Mura Weito

  Mura Weito Senior Member

  #28
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii haingii akilini hata kidogo. waziri tena mwenyedhamana ya elimu, Tanzanians, where are we heading to? Tafakari Chukua hatua Haki elimu. Yaani nimeiskiliza hii hotuba anasoma kwa kutetemeka ile mbaya. Hapa akipewa mkataba kusign sizani kama atausoma kabla ya kusign. Shame on him.
   
 29. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #29
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,724
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuoneana aibu ndiyo sifa zetu, jitu linatutia hasara lakini bado tunasema, "tunamwamini anaweza" atimue zake, sijui kama usalama wa taifa wanafanya kazi yao inavyotakiwa au nao hawana viwango vya kufanyia kazi. Pengine wao wamejikita kwenye kupambana na threat wa nchi wakati hata huyu ni mhujumu elimu.
   
 30. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #30
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 740
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 18
  Ingekuwa nchi ya wengine huyu jamaa angeshuka uwanja wa ndege wakati wa kurudi na kwenda zake home 4good. Lakini kwa sababu hii ni nchi ya DHAIFU jamaa atapeta tu kama kawa !
   

Share This Page