Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe



Hebu wana JF sikilizeni vituko vya naibu waziri wa Elimu katika mkutano huko cape town akifanya presentation....WE can't move like this!
 
Last edited by a moderator:


Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?


Lukolo! nimeiona mkuu! yaani dah!nashindwa ninune au nikasirike. nimeishia kucheka sana yaani. nafahamu sana kwamba huyu jamaa ni kilaza sana. hata wakati wa uteuzi wake mwaka juzi,tunafaomfahamu tulishangaa sana . lakini kwenye yu tube hii ukilaza wake umepitiliza. sijataka kuendelea tena kumtazama ,nimeishia pale anaposema "tanzania is a unification of islands of pemba of zimbabwe and tanganyika"
dah! jografia na historia ya wapi hii jamani? ina maana hata kama ameandaliwa hotuba hii,kwani huwa hawapitii hata kidogo! aibu gani hii! au waliomwandalia hotuba kwa kufahamu ukilaza wake wameamua kumhujumu makusudi! manake ktk hali ya kawaida haiingii akilini,tena ktk jukwaa la kimataifa

yaani hapa nilipo najiona mdogo sana ktk nyanja za kimataifa,manake jamaa kama ametuvua nguo vile
usomaji wenyewe wa hotuba kama vile class debates za form ones enzi hizo!

kweli dhaifu kaamua kuwaweka dhaifu wenzake!
 
Last edited by a moderator:
huyu bwana ni mtu aliyemaliza form six tu na kuanza kufundisha shule moja huko mbeya kwa mda mrefu sana bila kwenda chuo cha ualimu ....hapo alipo hana digriiachilia mbali cheti cha ualimu toka chuo kinachotamulika na serikali....huyu bwana na mkulu wako karibu sana na ni huyu huyu mlugo aliyemsaidia mkulu kumpata mary mwanjelwa.....huyu bwana na mkulu ni marafiki sana so pande alilompigia mkulu kwa mary mwaka 2010 mkulu alimuomba agombee ubunge na ni yeye ndio alimfadhili pesa kibao za kampeni...ukienda mbeya mjini kwenye ziel flat anazoishi mwanjelwa story hizi zipo kibao na hapo utakakuta katoto kanaitwa ka khalfan katoto ka mary alikozaa na mzee amegonga kopy kabisa....

mlugo ni kilaza sana na huo uwazir ni uwaziri wa asante tu hakuna kingine..... aibu sana
 
mitihani ya kupenyezewa ndio matunda yake haya..... english mbovu, geograpy imeoza, anashindwa hata kupambanua nchi ni muumgano wa nchi gani
 
Hahahahaa.......

Halafu ni MKRISTO. Hapo unaona sasa kwa nini Wakatoliki (mie siyo Mkatoliki) vijana wao wazuri sana.

Huu UPUUZI huwezi ukasema umepitia Seminary..... AIBU.

sikonge japo hapa udini hauna nafasi,lakini bado huyu jamaa ni mkatoliki kama kwa mtazamo wako wakatoliki ndio best scholars. na kwa historia yake ambition yake ilikuwa kuwa padri
lkn pia tusimjadili mtu,hapa tunajadili ukilaza wake na namna alivyochemka
 
alafu mnalalamika kwanini elimu yetu hapa tz inazidi kua duni kama mawaziri wenyewe wa kuongoza hiyo idara ni akina masakuu mnategemea nini
 
WOW....!!!aibu sana, sikosoi kiiengereza au accent. Lakini ilivyoandikwa ni kama presentation ya primary school. aibu sana. halafu muungano wa tanganyika na zimbabwe?????? hata kama hakuandika yeye ameshindwa ku-improvise ???!!!
Loooong speech and very boring
 
WOW....!!!aibu sana, sikosoi kiiengereza au accent. Lakini ilivyoandikwa ni kama presentation ya primary school. aibu sana. halafu muungano wa tanganyika na zimbabwe?????? hata kama hakuandika yeye ameshindwa ku-improvise ???!!!
Loooong speech and very boring

Mkuu na mimi network inasumbua km vp weka hiyo speech au presentation kwenye text tuone na sie.
 
Jamaa alimtaftia Mkuu wa Kaya demu pande za Mkwajuni, Chunya. Mkuu wa kaya katika kulipa fadhila akampa uwaziri. Both are hopeless
 
Back
Top Bottom