TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,667
- 1,566
Mara baada ya mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma, Waziri Mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya Waziri mkuu wakidai kuwa Mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM.