IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,819
Hawa wanaoishi kwa taabu hawatakiwi kuuza mahindi sasa hivi!Maana wanalaliwa bei, trust me hakuna mkulima anayepeleka mahindi Kenya!Hao ni middle men wanaolalia bei wakulima wetu!
...Ni hivi kukiwa na soko la uhakika be it Kenya, Somalia or Europe it means mkulima atapata soko la uhakika la mazao yake. Kazi ya serikali ni kusimamia na kuweka utaratibu mzuri kwenye magulio ili middle men wasiwalalie baas. Kumbuka hakuna biashara bila ya hao middle men wenye mitaji, na si wakilima wote wenye uwezo wa kupeleka mazao kariakoo or elsewhere.