Kuna wakati hujiuliza hivi Kikwete aliona kitu gani toka kwa mtu huyu Mkulo, Mkuchika na Ngeleja... sijawahi pata jibu..
Hebu tujikumbushe: Ni waziri gani wa fedha wa mwisho katika nchi hii aliyewahi kuwa mwadilifu, yaani yule ambaye hakukumbwa na kashfa zozote za ufisadi? Jamal? Msuya?
Tukumbushane.
Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi