Hayo ni meneno ya waziri kivuli wa ulinzi, Lema anataka serikali wajenge SkyoverHiii lugha hiii itaibua mengi!! Skyover ndio nini tena mkuu? Lema naye si ni waziri au?
Hayo ni meneno ya waziri kivuli wa ulinzi, Lema anataka serikali wajenge Skyover
yanini kujilazimisha kama lugha haipandi? aliyemkataza asihutubie kwa kiswahili nani? ameyataka mwenyewe maaibu hayo
Duh!lakini hilo ni tatizo la kitaifa!!
Kwa wale walioangalia maadhimisho ya miaka 50 ya Utumishi wa umma mtakubaliana na mimi mh. waziri wa wizara hiyo lugha gongana. Mimi niliyekuwa namsikiliza hadi niliona aibu jinsi alivyotuaibisha tena mbele ya wenye lugha yao. Na hapo alikuwa akisoma kwenye makaratasi. Angekuwa anazungumza moja kwa moja sijui ingekuwaje. Ni bora angeongea katika lugha anayoijua. Yaani ilikuwa balaa.
Jibu wewe uliyeileta hii thread.Hivi walengwa walikuwa ni akina nani?
destroyed in naijeria and buganda bwana, not in africa. With india i totally agreeEnglish was born in England, modified in America, destroyed in Africa and died in India.
Mmmhh MK mimi sikuwa najua hili mkuu. Anyway wakati nadhani Lukuvi naye anapaswa kukijua kimalkia angalau kwa elimu yake Diploma ya ualimu ninaweza kumsamehe kidogo. Tatizo langu kubwa kwa huyo waziri mwenye nyodo Ghasia, CV yake insema amesoma MSc ya Rural Development SUA kama sikosei sasa hata hiyo dissertation alidefend vipi? Lakini pia kwa nyodo alizonazo hata kama mfumo wetu hautuandai vizuri kwenye lugha ya Malkia ningekuwa yeye ningetumia juhudi binafsi kuijua lugha hii muhimu. Hivi hawa watu hata kiingereza hawawezi kujifunza (sijasema kwamba English ndio kila kitu) wanawezaje kutuongoza kwani I'm sure wanafahamu fika kuwa English ni muhimu sana sana.
Ukitaka kuisikia vizuri lafudhi ya kibena, basi msikilize mama yetu anapopiga English. Yaan kwa kweli nilimkumbuka Sitta ghafla. Sitta alikuwa anaongea kama lugha, hawa wengine wanakuwa kama watoto wanasoma maandishi ubaoni!makinda je???
Mkuu tutake radhi walimu, mbona sisi lugha inapanda vizuri tu, tena ndio tunayoitumia kufundishia darasani.
Labda kama Lukuvi ni katika wale walimu wa UPE ''Ualimu Pasipo Elimu''.
Ukitaka kuisikia vizuri lafudhi ya kibena, basi msikilize mama yetu anapopiga English. Yaan kwa kweli nilimkumbuka Sitta ghafla. Sitta alikuwa anaongea kama lugha, hawa wengine wanakuwa kama watoto wanasoma maandishi ubaoni!
Jibu wewe uliyeileta hii thread.