Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 249
- 711
Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!
Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi!
Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu wawasilishe risiti kwa ajili ya malipo ambayo huyadai mpaka miaka 3 ndo yanalipwa!? Kuna giza sana Wizarani kuhusu posho hizi, mmenufaika vya kutosha sasa inatosha acheni kuwafanya Askari wajinga, lipa posho zao haraka kupitia Mishahara yao.
Askari kila wakitaka kuongea Rais wanapigwa nyundo!