Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 249
- 711
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo mbalimbali ya Nchi ikiwemo Zanzibar.
Askari hao wanadai kwamba posho hiyo ya MAJI NA UMEME wanatakiwa waipate moja kwa moja kupitia Misha ha ra yao kila mwezi lakini haifanyiki hivo kwq maslahi ya wachache wizarani,,askari wanadai siasa imevamia majeshini kila wakidai haki hiyo wanaletewa mambo ya siasa yaani uongo mwingi vitendo hakuna,,,,askari hao wanadai wakitaka kuomba kikao cha pamoja na Mh.Rais wanazungushwa na viongozi wao ili kuhakikisha Rais hasikilizi shida zao.