Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, John Magufuli leo anatarajia kutunukiwa PhD ya kemia katika mahafali ya 39 ya UDSM

huyu jamaa ni genius fulani hivi, nadhani anaweza kulikomboa taifa letu
Upo Juu mheshimiwa wala haliitaji kurushiwa slides ili lieleweke...
wakati upo pale chemistry dept siku za weekend nilikua nafrai sana
tulipokuwa tunapanga mstari kununua chakula pale cafteria two ukiwa na
wanao, yani wewe ni mzalendo wa ukweli. Alafu pili ni jinsi ambavyo huwa
unafunika kila wizara upewayo yani hata wakufiche kwenye wizara
isiyojulikana u'll still shine.
wenzio ninao wakubali ambao ni product za ukweli pale mlimani na ambazo
hunifanya nijikubali kusoma chuo walichosoma wao tena baadhi wakiwa ni
walimu wangu ni pamoja na:-
1.Prof. LUHANGA
2.prof Mark Mwandosya,
3.prof sarungi
4.prof mwakyusa
5.prof kabudi
6.prof nkunya
7.prof Lipumba
yani hizo product ni balaa tupu, unaambiwa perfomance zao zinatambulika
kiukweli, sasa unapofundishwa na watu kama hawa lazima uwe wa ukweli
bila hivyo lazima ukimbie kambi kama wale wanaosoma mzumbe hahahahah!
Mhe. Magufuli siyo tu kwamba anajua anachokifanya bali kila anapopita anaacha "ATHALI HASI" Mfano:Msomi mmoja maarufu alisema hivi, kama mvua inanyesha na haionyeshi kama imenyesha basi hakuna maana ya mvua hiyo kwepo.
Upo Juu mheshimiwa wala haliitaji kurushiwa slides ili lieleweke...
wakati upo pale chemistry dept siku za weekend nilikua nafrai sana
tulipokuwa tunapanga mstari kununua chakula pale cafteria two ukiwa na
wanao, yani wewe ni mzalendo wa ukweli. Alafu pili ni jinsi ambavyo huwa
unafunika kila wizara upewayo yani hata wakufiche kwenye wizara
isiyojulikana u'll still shine.
wenzio ninao wakubali ambao ni product za ukweli pale mlimani na ambazo
hunifanya nijikubali kusoma chuo walichosoma wao tena baadhi wakiwa ni
walimu wangu ni pamoja na:-
1.Prof. LUHANGA
2.prof Mark Mwandosya,
3.prof sarungi
4.prof mwakyusa
5.prof kabudi
6.prof nkunya
7.prof Lipumba
yani hizo product ni balaa tupu, unaambiwa perfomance zao zinatambulika
kiukweli, sasa unapofundishwa na watu kama hawa lazima uwe wa ukweli
bila hivyo lazima ukimbie kambi kama wale wanaosoma mzumbe hahahahah!
Dr NCHIMBI
Dr.KAMARA
Dr.MZINDAKAYA
.
.
.
.
Hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hata chembe, infact umenifanya nione andiko lako lote limekaa kishabiki zaidi. Natilia shaka weledi wako!!
nini wewe?kuna wizara lililooza kama hili...please give me a break