Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

Jiji linatakiwa kuweza kujigharamia miundombinu yake. Sasa nini maana ya jiji kama haliwezi kujigharamia?
 
Nilikuwa ninaitafuta hii comment.

Barabara anazozitaja mtoa mada zipo chini ya TARURA ambayo kimsingi wazara husika ni TAMISEMI ambayo Waziri wake ni Mchengerwa.

NB: Hata kama Bashungwa alitoa ahadi akiwa waziri wa TAMISEMI, bado hastaihili kulaumiwa.
Kwa maneno machache sana, Mtoa mada hajielewi na hajui anataka nini, huyu ndiyo wale wanaamini mbunge analeta maendeleo na siyo serikali inayoweka mazingira mazuri wananchi kujikwamua.
Kama hujui uendako huwezi kupotea.
 
Back
Top Bottom