robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!
Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri kaachana na mpango mkakati wa kilimo (ASDP II) ambao haukupata pesa za kuuendeleza. Sasa anapewa pesa za Kilimo, kijana anazipiga kupitia mpango wake wa mfukoni. Ubunifu binafsi. Kwa miaka yake miwili hakuna manufaa kwa mkulima wa kijijini, Bashe anahangaika na show za mjini.
Ni kwa nini rais amenyamaza wakati kinachotekelezwa siyo mpango wa serikali? Je, ndo mbinu ya mkuu wetu kujinufaisha kupitia kwa mawaziri na tenda za ujenzi wa mashamba na mabarabara? Tunadhani ni Bashe kumbe ni makusudi tu, pesa ipondwe. Pikipiki pekee zilinunuliwa kwa mabilioni, bila hata sababu. Hatujaona manufaa yake sasa kuna mpango wa Bashe kwa vijana.
Alichosema Mdee yuko sahihi! Ni vibaya sana kutumia pesa za serikali kunufaisha wachache kwa jina eti vijana ktk kilimo. Yaonekana hata waziri hana ramani ya mikoa ya kilimo ktk nchi hii ndo maana anafungua mashamba Dodoma. Badala ya kujibu maswali bungeni kijana wa kisomali kaja na takwimu za mitandaoni na kujidai English ambayo imemkataa siku zote.
Hii imeniuma na nimekumbuka kwamba Bashe ni m-Tanzania wa kujiandikisha. Amejiandikisha ili awe m-Tanzania, tena kwa mbinu nyingi na urafiki wa wanasiasa wetu. Kuna haja kubwa ya kuangalia nani anastahili kupewa nafasi za uwaziri kama ilivyo kwa nafasi ya rais.