Waziri Balozi Kagasheki afanya kweli

Mkuu Mpungati zama za Nyerere zimeshapita tunatakiwa sisi ambao mwenyezi Mungu katujalia pumzi tushughulike,tuhangaike kupigania rasilimali zetu

Kwanini baba wa taifa, Nyerere hafufuki ili ayashuhudie haya?
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako yafuatayo ni mashamba ya bibi:
NCAA = Hapa ni zaidi ya hata TANAPA sehemu hii inapata wageni wengi kuliko ''eneo'' lolote la Africa Mashariki = hata washika rungu wanaishi kifahari bcz of foreign currency of all sorts
TANAPA = hapa napo shamba la bibi, u take and you go.....kula hela za kigeni kila aina na za kutosha
MADINI = ndege zinashuka na kubeba mzigo and they despise us that we are all idiot....very pathetic
add the list for mashamba ya bibi hapa tz........

Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority.

Account binafsi za baadhi ya vibosile wa mamlaka hiyo zimekutwa na mabilioni ya fedha za kigeni US dollar na fedha za kitanzania.Waziri kwa kushirikiana na mamlaka mbali mbali za dola wamezuia account zote na kuanzisha uchunguzi mara moja.

Ifahamike NCCA ni mamlaka pekee Tanzania yenye kumiliki magari ya kifahari luluki.Ni mamlaka pekee nchi ambayo wakurugenzi wake wanauhakika wa kukaa nje ya Tanzania zaidi ya siku 200 kwa mwaka.Ni mamlaka pekee ambayo wakurugenzi wake karibu wote wanamiliki V8 na mahekalu ya kutisha katika miji ya Arusha,Dar na Mwanza.

Jamaa Bajeti yake anasoma lini? Maana hawa Mawaziri siku hizi kabla hawajaenda kusoma Bajeti kwanza Wanatoa Kafara

1. Mwakyembe alimtoa Kafara Chizi
2. Muhongo akamtoa Kafara Mhando
3. Kagashaki anataka kumtoa Kafara nani?
 
Mmmmmmmhh......................fishy
 
Mmmmmmmhh......................fishy

Mawaziri Wote waliotoa Kafara Bajeti zao zilipita Kwa Kishindo. Sasa Najiuliza Who is Next? May be you nani anajua just Kaa Chonjo maana unapigwa Chini Mzigo uansomwa Bungeni watu Wanashangilia mazingaombwe wanapeta
 
Ben Murunya naamini alichota sana pale NCAA na sasa anachotafuta kule EALA ni Self Actualisation tu.
Lakini naamini ndio maana Ukimwi unawamaliza sana watu wa Ngorongoro. Kila baada ya masiku kadha majeneza yanarudisha watu Place of Domicile.
Stuka. Sisi tunawaogopa, UKIMWI HAUWAOGOPI.
 
Mkuu Ngongo,

Ni kweli tena Lusinde unajua kabla ya hapo alikuwa Balozi Kenya, na ana miradi yake kule basi yy alikuwa na gari na dereva na alikuwa anapiga misele kama anavyotaka, na posho na madolari kibao. Sasa nadhani last time alikuwa Ret. mjeshi mmoja na najua uchaguzi uliopita walikomba pesa nyingi sana. Huyu mjeshi nae aliingia kwa mbwmbwe nyingi lkn alipotulizwa na kuonjeshwa utamu akatulia tuliii. Meghji enzi zake kwa kujua utamu kule, akamuweka mmewe kama moja ya members ...!! Only in bongo..

Huyu bitozi ngosha aliyeingizwa mjini akatumiwa kuuza twiga then wakamtosa (yy alipewa posho kidogo ya bei za ngiri na nyegere tuuu) yy alikuwa anakusanya fweza ili kuteua watu. Sasa hapo hujaangalia posho za vikao wanalipana kiasi gani- last time ilikuwa 1M per meeting (wakichacha au ikikaribia sikukuu kama mwisho wa mwaka kunakuwa na extra-ordinary kama 2, 3 so 3M) hapo bado wanalipiwa malazi, chakula na za nyumba ndogo !! Kuna milafi inachukua posho kwenda nje eti kutangaza usanii (utalii) so kikao kikipangwa huku hawapo bado inadai posho zao na wanapewa..

Sitashangaa huyu mwenyekiti wa kamati ya bunge sasa ya mazingira kama hawatamwekea zengwe na kumpiga chini, maana anajua undani wa huko (yy na Ndugai walikuwa huko pia) na ndiyo maana anajua namna ya kuwashika pabaya (kabla ya kuwa naibu spika Ndugai ndiye alikuwa mwenyekiti).

Nilishasema siku nyingi, bodi nyingi ni ulaji tuu, mtu hajawahi hata kuona mijusi au kujua mende wanakojoaje sasa leo hii unampa ukuu wa taasisi ya utafiti wa wanyamapori ili afanye nn na maamuzi gani ? Bodi ziwe na members wachache, wataalam wa fani husika- lawyers, mchumi, na rest wahusika wa fani hiyo basi, na hakuna kujaza retired officers kama njia za kuwaongezea mapato. Ona huyu mjeshi mfunga buti Mboma mambo anayofanya !!

Mkuu Mafuluto ni kweli NCAA fedha zinachotwa CCM wamekuwa wakihakikisha wanaweka watu wao kwaajili ya manufaa ya chama chao na wakati huo huo wafanyakazi wana take advantage ya kuchota fedha kwakuwa wanajua siri kibao.Kabla ya Pius Msekwa alikuwepo Job Lusinde TANAPA huyu ni mdhamini wa CCM mpaka leo Sijui mwenyekiti wa bodi siku hizi ni nani jaribu kutafiti utakuta ni wale wale watu wa system.
 
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority.

Account binafsi za baadhi ya vibosile wa mamlaka hiyo zimekutwa na mabilioni ya fedha za kigeni US dollar na fedha za kitanzania.Waziri kwa kushirikiana na mamlaka mbali mbali za dola wamezuia account zote na kuanzisha uchunguzi mara moja.

Ifahamike NCCA ni mamlaka pekee Tanzania yenye kumiliki magari ya kifahari luluki.Ni mamlaka pekee nchi ambayo wakurugenzi wake wanauhakika wa kukaa nje ya Tanzania zaidi ya siku 200 kwa mwaka.Ni mamlaka pekee ambayo wakurugenzi wake karibu wote wanamiliki V8 na mahekalu ya kutisha katika miji ya Arusha,Dar na Mwanza.

Mkuu hii nchi sasa hivi ni shamba la bibi ANGALIA NHC-NATIONAL HOUSING viongozi wanatembelea nini utapata jibu.
 
Back
Top Bottom