Waziri Balozi Kagasheki afanya kweli

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,923
31,166
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority.

Account binafsi za baadhi ya vibosile wa mamlaka hiyo zimekutwa na mabilioni ya fedha za kigeni US dollar na fedha za kitanzania.Waziri kwa kushirikiana na mamlaka mbali mbali za dola wamezuia account zote na kuanzisha uchunguzi mara moja.

Ifahamike NCCA ni mamlaka pekee Tanzania yenye kumiliki magari ya kifahari luluki.Ni mamlaka pekee nchi ambayo wakurugenzi wake wanauhakika wa kukaa nje ya Tanzania zaidi ya siku 200 kwa mwaka.Ni mamlaka pekee ambayo wakurugenzi wake karibu wote wanamiliki V8 na mahekalu ya kutisha katika miji ya Arusha,Dar na Mwanza.
 
BADO MADINI YETU TUONE NANI ANAYEFUJISHA... Tumeshapata Suluhu kwenye Mawasiliano na Umeme
 
hakya nani!! hii hal sasa ni mbaya mno..sasa kila sekta watu wanajikatia mapande makubwa makubwa!!! sasa hiyo ni moja,ukija kwenye swala la ajira huko TANAPA ndo balaa jingine,hujulikan huna chako!! sasa mTZ wa kipato cha chin atapona kweli!!!?? inasikitisha!
 
kwa kasi hii c.c.m muna uhakika wa kura yangu 2015,lakini mwendo wa mabadiliko ya kweli uwe ni huu huu wa sasa,kwa kufichua maovu yote ya vigogo wanaowatafuna wananchi,pesa hizi zitumike katika mambo yanayolikwamisha taifa na serikali kwa sasa
 
Sawa kabisa mheshimiwa. hawa wanatumia pesa ovyo kinyume na kulinda mazingira ya Ngorongoro. Wanajenga miundo mbinu kama viwanja vya ndege na barabara ndani ya hifadhi kila kikicha. Kutoa kandarasi kubwa kubwa na bila shaka kuchukua ka% kila contract. Miundo mbinu iangaliwe kama inaendana na kuhifadhi mazingira. Nawasilisha.
 
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority.

Account binafsi za baadhi ya vibosile wa mamlaka hiyo zimekutwa na mabilioni ya fedha za kigeni US dollar na fedha za kitanzania.Waziri kwa kushirikiana na mamlaka mbali mbali za dola wamezuia account zote na kuanzisha uchunguzi mara moja.

Ifahamike NCCA ni mamlaka pekee Tanzania yenye kumiliki magari ya kifahari luluki.Ni mamlaka pekee nchi ambayo wakurugenzi wake wanauhakika wa kukaa nje ya Tanzania zaidi ya siku 200 kwa mwaka.Ni mamlaka pekee ambayo wakurugenzi wake karibu wote wanamiliki V8 na mahekalu ya kutisha katika miji ya Arusha,Dar na Mwanza.

Na PPF JE!!!!!!!!!!

1. Umeyaona ma VX na Ma-Prado new model ya wakurugenzi wa PPF? Tena hawalipii kodi, Magari ya 200M kodi yote inalipwa na PPF

2. Umeyaona mahekaru ya wakurugenzi wa PPF? Na wengine wamejichukulia viwanja vya PPF kule Bahari Beach na kuporomosha mahekaru kama vile pesa wanaokota kumbe wanaiba PPF

3. Angalia safari za wakurugenzi wa PPF, Per diem ya Tshs 1,600,000 kwa kila mchana DG wa PPF akiwa nje ya Tanzania. Na Tshs 450,000. akiwa nje ya Dar hata kama ni Kibaha au Bagamoyo.

Hao wezi wa Vitalu hawawezi wazidi wezi wa michango yetu ya pensioni, ndio maana wanataka kufuta withdrawal benefit
 
Halitowezekana wakilazimisha lazima tugawane umasikini majengo yote yatashushwa tu kimafia,zimeshushwa twin towers usa!! Ndio tushindwe machinga complex?
 
Mkuu wangu mchukiaufisadi wewe hujui Ngorongoro pale ni mwisho wa maneno wakubwa wote wa nchi hii wanachota fedha pale kama nchi haina mwenyewe.Unazungumzia prado ha haaaaa NCAA prodo ni kwaajili ya makarani wenzako wanatumia VDJ 200 V8 zipo tano na moja kwaajili ya mwenyekiti wa bodi Mzee Msekwa.Management yote wanatuimia V8 upo hapo mkuu wangu.

Advantages kubwa ya NCAA ni kwamba fedha zinafujwa hakuna kelele PPF fedha zinafujwa kelele nyingi.

Na PPF JE!!!!!!!!!!

1. Umeyaona ma VX na Ma-Prado new model ya wakurugenzi wa PPF? Tena hawalipii kodi, Magari ya 200M kodi yote inalipwa na PPF

2. Umeyaona mahekaru ya wakurugenzi wa PPF? Na wengine wamejichukulia viwanja vya PPF kule Bahari Beach na kuporomosha mahekaru kama vile pesa wanaokota kumbe wanaiba PPF

3. Angalia safari za wakurugenzi wa PPF, Per diem ya Tshs 1,600,000 kwa kila mchana DG wa PPF akiwa nje ya Tanzania. Na Tshs 450,000. akiwa nje ya Dar hata kama ni Kibaha au Bagamoyo.

Hao wezi wa Vitalu hawawezi wazidi wezi wa michango yetu ya pensioni, ndio maana wanataka kufuta withdrawal benefit
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu mchukiaufisadi wewe hujui Ngorongoro pale ni mwisho wa maneno wakubwa wote wa nchi hii wanachota fedha pale kama nchi haina mwenyewe.Unazungumzia prado ha haaaaa NCAA prodo ni kwaajili ya makarani wenzako wanatumia VDJ 200 V8 zipo tano na moja kwaajili ya mwenyekiti wa bodi Mzee Msekwa.Management yote wanatuimia V8 upo hapo mkuu wangu.

Advantages kubwa ya NCAA ni kwamba fedha zinafujwa hakuna kelele PPF fedha zinafujwa kelele nyingi.

Mungu ashuke haraka kutuokoa.

Mh. ni kweli siijui vizuri lakini nachukia mno huu ubadhirifu hata kama ni wa fedha kidogo. Hapo ngorongoro hasara tunapata watanzania wote, lakini PPF wanaumia wanachama wachache ambao ni walalahoi. Umesema PPF angalau kelele zinapigwa, ni kweli ila zinaishia kwenye masikio ya akina Zitto wasiotujali walalahoi. Lakini MUNGU yupo na anawaona wanavyoliibia taifa maskini la Tanzania. Ipo siku hatawavumilia, watamkoma.
 
Agreed. Pale pia ni kisima cha CCM kujichotea mamilioni na ndiyo maana Msekwa labda afe, hawezi kuondolewa pale kabisa.

Fuatilia mahekalu kule uarabuni ndiyo utajua !!

Mkuu wangu mchukiaufisadi wewe hujui Ngorongoro pale ni mwisho wa maneno wakubwa wote wa nchi hii wanachota fedha pale kama nchi haina mwenyewe.Unazungumzia prado ha haaaaa NCAA prodo ni kwaajili ya makarani wenzako wanatumia VDJ 200 V8 zipo tano na moja kwaajili ya mwenyekiti wa bodi Mzee Msekwa.Management yote wanatuimia V8 upo hapo mkuu wangu.

Advantages kubwa ya NCAA ni kwamba fedha zinafujwa hakuna kelele PPF fedha zinafujwa kelele nyingi.
 
Kila mahali kuna matumizi mabaya ya pesa za Umma. Sehemu nyingine yenye ufisadi wa kutisha ni vyuo vikuu vya serikali. Kawa muda mrefu pesa za miradi ya maendeleo na utafiti zinatumika kugharamia miradi binafsi ya wahadhiri.
 
ajira ya kukata mafisadi vichwa inatangazwa soon kaeni mkao wa kula.
tunaanza na hao wa ppf na ngorongoro kisha wabunge
 
Mkuu Mafuluto ni kweli NCAA fedha zinachotwa CCM wamekuwa wakihakikisha wanaweka watu wao kwaajili ya manufaa ya chama chao na wakati huo huo wafanyakazi wana take advantage ya kuchota fedha kwakuwa wanajua siri kibao.Kabla ya Pius Msekwa alikuwepo Job Lusinde TANAPA huyu ni mdhamini wa CCM mpaka leo Sijui mwenyekiti wa bodi siku hizi ni nani jaribu kutafiti utakuta ni wale wale watu wa system.

Agreed. Pale pia ni kisima cha CCM kujichotea mamilioni na ndiyo maana Msekwa labda afe, hawezi kuondolewa pale kabisa.

Fuatilia mahekalu kule uarabuni ndiyo utajua !!
 
Ee Mungu wakati wamaasai hawana maji ya kunywa kwa ajili yao na Ngombe hapo tu Ngaresero halafu wajinga fulani wanaficha mihela kwenye account zao? Sasa kweli kazi inatakiwa ianze na hawa tuwashughulikie ipasavyo...wanatuibia hivi, no way, we have to deal with them perpendicularly!

Huu ndio mwisho mcc na watu wao. Hakika watz tusiendelee kukaa kama nguruwe hapa kila siku
 
Back
Top Bottom