Waziri Aweso hata ndani ya jiji tuna kero ya maji

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
449
Tunaishi maeneo ya ubungo jirani na daraja la Kijazi kushoto kuelekea buguruni, River side maeneo ya mamia ya wakazi.

Maji yanakatika siku mbili Hadi tatu.

Dawasa hawatoi taarifa yoyote.

Leo tarehe 20/10/2021 siku ya tatu Hakuna maji.

Hii hali inajirudia Mara kwa Mara inatutesa inatukaraisha.

Tuangalizie hili
 
Naona maeneo mengi tu hayana maji na Waziri amelewa sifa anazurura tu.
 
Mkuu nyie mna raha sana siku 3 unalalamika sisi tunaokaa zaid ya week tuseme nn afu mbezi beach ambako maji hayajawai kuwa shida
 
Back
Top Bottom