Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...
FTC yake inaingia 55litres sijajua inatumia mafuta kiasi gani Kwa kilomita ila kipige full vuka hadi dom weka lita zingine 20 hapo nafikiri lita 70/80 zinakufikisha hadi mwanza.
 
Vp wakuu natgemea kutoka dar to mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane .Aina ya gari ni premio ya cc 1490 inaweza tumia Lita ngapi za petrol kwa root hiyo...

Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km.
Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo mwenye LC na king’ora chake T*** AQM mlinichangamsha naimani na nyinyi mlichangamka kama mpo humu japo sio kiushindani. Kwahiyo kama gari yako iko na service nzuri naimani around 60lit zina kufikisha. Jitahidi kama una uwezo sehemu kubwa ya safari yako iwe usiku. Dar-Arus-Dar nimetumia 221000. Hiyo buku nilimpq afande ya kahawa sikua na kosa nikaona nimtoe. Iliyobaki ni mafuta. Nilisimama mara chache kuchimba dawa. Niliondoka puma mwenge saa 10:47 usiku nilifika Mianzini saa 6:30 asubuhi.
IMG_1325.jpg
 
Kama kawaida yangu Jumamosi uwa natoka na bike kuondoa carbon Kwenye exhaust. Leo Nikakutana na crown athlete new model nyekundu. Nahisi dreva alikuwa hajui the power of a BMW bike. He has a story to tell kama yupo humu; ila aache ushamba; kwa nini mwanzoni ulikuwa unaniblock nikitaka kuku-overtake?
Usithubutu kuweka ligi na machine ya mjerumani.
 
anabattle na gari ya matairi mawili
 
Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km.
Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo mwenye LC na king’ora chake T*** AQM mlinichangamsha naimani na nyinyi mlichangamka kama mpo humu japo sio kiushindani. Kwahiyo kama gari yako iko na service nzuri naimani around 60lit zina kufikisha. Jitahidi kama una uwezo sehemu kubwa ya safari yako iwe usiku. Dar-Arus-Dar nimetumia 221000. Hiyo buku nilimpq afande ya kahawa sikua na kosa nikaona nimtoe. Iliyobaki ni mafuta. Nilisimama mara chache kuchimba dawa. Niliondoka puma mwenge saa 10:47 usiku nilifika Mianzini saa 6:30 asubuhi. View attachment 2695373
Lc 300 Number A, duuh
 
Battle/illegal racing tuwe makini guy's, Leo alfajiri nimeshuhudia ajali mbili mbaya sana,moja ni trunk iliyobeba mbao imepata ajali mbaya sana pale Sao Hill, speeding na poor visibility inaweza kuwa ndio tatizo, nyingine nje kidogo ya jiji la Mbeya uelekeo wa tunduma, toyota hilux double cab imegongana na fuso, hali ya hilux inatisha, again speeding, hali mbaya ya T1 imechangia,guy's tuwe makini na T1 maana ni death trap
 
Back
Top Bottom