Wazazi wengine bana!!

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Binti alirudi kijijini baada ya miaka 5. BABA: We mwanaharamu umeondoka hapa kwa miaka mitano hukutaka kutuandikia barua wala kutuma salamu unajua
ulimtesa sana mama yako?
BINTI: Baba niliona niwe kimya nilikuwa nafanya kazi ya umalaya
BABA: Ayaaaaaa umetia aibu kubwa familia yangu lohh,
ntatembelea wapi mimi?
BINTI: Sawa baba, lakini nimemletea mama sanduku la nguo na kanga 20 na pesa, na hii hapa ni hati ya kiwanja nimemnunulia. Na wewe baba nimekununulia hilo gari nililokuja nalo na nimekufungulia akaunti, ina
pesa
utaweza kulima vizuri nakujenga nyumba nyingine ya kisasa.
BABA: Ulisema ulikuwa unafanya kazi gani?
BINTI: Umalaya
BABA: Unajua nilisikia vibaya
nilidhani umesema Uyaya,
pole sana na kazi mwanangu...
coMMENT ukianza na neno PESA, AU neno pesa liwe katika comment yako...
 
Back
Top Bottom