Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

Wanaosema kupokea mahali ndogo ni ushamba wabaki hivyohivyo,
Mahali ndogo huchukui Binti yangu kwanza ni kipimo Utaweza kumlisha huko unapompeleka?
Ni IPO hivyo hata kwetu wazee wangu na shangazi zangu hawataki mba mba mba kama huna Hela kajipange tu.
20m inatosha kukuchukua mrembo?
 
Mie ushauri wangu stick na upande wa baba mzazi. Utachukuliwaje kwa bei ya kabati bwana🤣🤣🤣🤣
Alafu ngoja nikupe siri, masuperwoman hawaolewi. Wanaoolewa ni wanawake wenye njaa
Oiiiii...
 
Sio kidogo aisee. Majority hatuwezi afford. Maana hapo bado mazaga zaga kibao.

Hapo harusi itakuja kua mil 40-60 hivi.
Wazazi kama hawa ndio wanasababisha watoto wao wazekee nyumban imagin mzazi anasema mahari ndogo hakuna ndoa watakuja wengine hao wengine kashawatafuta? ujinga ujinga tu
 
Wazazi wanasababisha ndoa nyingi sana kuvunjika siku hizi, beba mimba ya jamaa zaa hapo hapo home
Muhusika usijaribu kabisa huu ujinga. Tulizana kwa mzee ukule raha cha msingi mtu wakukuoelekea moto yupo basi hamna shida genye zikidizi unampelekea jamaa anakugegeda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom